Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 24,262
- 58,728
🤣😁😂😂Sawaaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤣😁😂😂Sawaaa
Mambo ni faya tukutane tarehe saba baba mzazi baba....Mnubii mambo vipi babaa?
Kenge nyiny lazima mtoke mrudi kwenu goma kwenye vitaKinshasa bisengo abidjan[emoji91][emoji91][emoji91]View attachment 2894818
hao si walikua group moja na walipokuta walitupa game mbovu!Congo na South Africa watoke fainali tucheki mpira mtamu Nigeria na ivory coast
hao congo hawana maajabu yeyote wamepangwa na vitimu yva hovyo hovyo angalia mlia aliyopitia IVORY COAST au NIGERIA halafu useme wewe mwenyewe maana wanasimba mnamatatizo ya delusion of grandeaurWanaoichukulia poa dr congo hawatoamini macho yao, hii sio ile dr congo ya kocha ibenge na mwinyi zahera ambao walikuwa hawawaiti mapro wanaokipiga ulaya, ibenge alikuwa anaita karibu timu nzima ya taifa wachezaji wanatoka as vita, tp mazembe....hii dr congo ya sasa inawachezaji watatu wanaocheza africa wengine wote wanacheza ulaya....hao ivory coast inshaALLAH tutajipigia tu goli 2 kwa nunge,wachumba tu hao!
mechi yao ilikua ya kiufundi sanahao si walikua group moja na walipokuta walitupa game mbovu!
mpira ni mchezo wa wazi wote tuliona, hakukuwa na ufundi wowote zaidi yakucheza kwa kuogopana na kuviziana!mechi yao ilikua ya kiufundi sana
kucheza kwenye Counter ni moja ya football techinique Na asilimia 75 ya Timu zilizoshiriki kwenye Africon msimu huu nyingi zilikua zinacheza kwenye Counter Ivory coast kwa asilimia kubwa Ndio alikua anacheza direct ball possessionmpira ni mchezo wa wazi wote tuliona, hakukuwa na ufundi wowote zaidi yakucheza kwa kuogopana na kuviziana!
Kabisa mtani....lazima kongo iende fainal🤣😁😂😂Kaka kombe linaenda Kinshasa hili kaka
Congo habebi hili kombe acheni kuota safari yao leo imeivaNUSU FAINALI ZA AFCON
.
[emoji1184] NIGERIA [emoji739]️ SOUTH AFRICA [emoji1221]
[emoji354] 20:00
[emoji909] Stade de la Paix
.
[emoji1081] IVORY COAST [emoji739]️ DR CONGO [emoji1078]
[emoji354] 23:00
[emoji909] Stade Olympique Alassane Ouatarra
Kila la heri bafana bafana na Congo, ivory coast leo bahati itamsaliti.
Nampa nafasi ya kutinga fainali.Congo habebi hili kombe acheni kuota safari yao leo imeiva