United ya Ferguson
JF-Expert Member
- Oct 29, 2021
- 3,132
- 6,353
Anajuauyu mtoto uwanja mzima unamshangilia
Bahati mbaya sijawapenda kwa huo uchezaji walioanza nao.
Ova
wamekimbia waombe hii mechi wasifungwe nitahikisha wanarudi Goma ya miguuUtaniua mbavu zangu.
Charles kilian huyo
Na ndugu yake Tresor Mandala walitamba sana asubuhi wamepotea wote.
Unapoingia kwenye hatua hii katika michuano mikubwa namna hii, haitakiwi kucheza kiudogo. Inatakiwa kutoa kitu cha ziada. Kile ambacho watu hawakuwahi kukiona kwako.Lakini b.. hata kabla ya mpira kuanza DRC sio lolote mbele ya Ivory Coast kwenye michuano hii.
Sikutegemea tofauti na ninachokiona hapa.
Nina gunduunachekesha 😅
Jamaa kakitia kwenye soksiNdio ujue elimu dunia ni muhim...ujue kusoma
🤪🤪🤪🤪🤪Hivi Mayele kagusa bolu kweli
dk ya 83 ivory coast anaongoza bao mojaNawategemea kwa updates wapendwa huku mambo si mambo
Pole.Nina gundu
Tangu Afcon ianze hakuna timu niliyoisapoti ikashinda
2012 Chipolopolo Walimlaza na ViatuDrogba na umwamba wake jumlisha kikosi bora kabisa hajawahi kuibeba hiyo ndoo. Ilibebwa tayari kaondoka.
Aisee inauma sanadk ya 83 ivory coast anaongoza bao moja
Hawa mganga wao sio muhongo hahahaIvory coast wamezindika viwanja hivi
mi pia wanangu wa Egypt walitepeta mapema sana ikabidi nihamishie virago kwa Mabingwa [Ivory Coast] 😅Nina gundu
Tangu Afcon ianze hakuna timu niliyoisapoti ikashinda