2024 Africa Cup Of Nations (AFCON) | Special Thread. Mechi ya fainali, FT: Nigeria 1 - 2 Ivory Coast. Ivory coast abeba ubingwa. 11.02. 2024

2024 Africa Cup Of Nations (AFCON) | Special Thread. Mechi ya fainali, FT: Nigeria 1 - 2 Ivory Coast. Ivory coast abeba ubingwa. 11.02. 2024

Lakini b.. hata kabla ya mpira kuanza DRC sio lolote mbele ya Ivory Coast kwenye michuano hii.
Sikutegemea tofauti na ninachokiona hapa.
Unapoingia kwenye hatua hii katika michuano mikubwa namna hii, haitakiwi kucheza kiudogo. Inatakiwa kutoa kitu cha ziada. Kile ambacho watu hawakuwahi kukiona kwako.

Mbona sasa wameanza kusambaa vizuri uwanjani? Sio kujirundika nyuma kama mechi ya kutafuta point.

Ova
 
Back
Top Bottom