Kwa majumuisho ya mwenendo wao katika michuano yote, utaona kama kila mtu kapata alichostahili hapo.B... hapana bwana. DRC walistahili ushindi, bahati haikuwa tu upande wao.
Kwanini 90 pekee wakati zimechezwa 120?Hivi Man of the Match anapatikana kwa Kuangalia Dakika 90 pekee?
Alitaka afunge yeyeKuna Assist angezitoa hii match isingefika huku
Wako simple Sana, sijui ni amri toka juuππUkimtoa kipa Ronwel Williams wachezaji waliobaki karibia wote wa South Africa hawana mambo mengi kichwani[emoji16][emoji16](haircut)
Mpira mwingi umepigwa na Congo, mshindi anachukua mwingine.Kweli nilitaka SA washinde ila nimejisikia vibaya sana. Sio fair
Ndio amekosa hadi Penalti.Alitaka afunge yeye
How mkuu...Chai π
Najua hilo b⦠Ila tukiongelea mechi ya leo ni kama mwanafunzi aliyefeli test za kawaida ila akapiga msuli kwenye mtihani wa mwisho.Kwa majumuisho ya mwenendo wao katika michuano yote, utaona kama kila mtu kapata alichostahili hapo.
Ujue DRC wameshinda mechi moja tu kwenye michuano hii. Moja tu basi.
Ova
Penati anapiga utadhani hajakula chakulaNdio amekosa hadi Penalti.
Aliamka vibaya tu MkuuHakuna cha kuamka vibaya siku ile alikutana na wapigaji wazuri
Itakuwa ameng'ang'ania apige yeye ndio maana kakosa.Penati anapiga utadhani hajakula chakula
Angepiga Mayele tujue moja tu kuwa inapaa hadi juu kwa mashabiki.
Hawajaenda dkk 30, sijui sababu ni nini, natamani kufahamuHivi hazijaenda dakika 30?
Halafu na leo umewashabikia wamefungwa, kaogee chumvi ya mawe.Mpira mwingi umepigwa na Congo, mshindi anachukua mwingine.
Nimeona Hii Mechi ya Leo Man of The Match kapewa Mchezaji wa Congo, nilidhani watampa Kipa wa SauzKwanini 90 pekee wakati zimechezwa 120?
Wanaangalia zote nadhani.
πππHalafu na leo umewashabikia wamefungwa, kaogee chumvi ya mawe.
Sijapanga timu ya kushabikia kesho ila niachie Nigeria please ππ
Toka majuzi nimelia sana ππππIla umefeli kuitabiria DRC yako, pole.
π€£ππLeo umetupa gundu myπππ
Nimewatia gundu
Nilisema mimi nikichagua timu lazima ifungweπππ
Kiukweli nimekuwa mzalendo kwa Africa mashariki japo mahaba yangu yalikuwa kwa wasouth,, namzimikia Williams.
Mechi ya leo sijaicheck kwa presha kabisa.
Kesho sina timu
Wote siwapendi
Matapeli Nigeria waliwatoa wangoni wangu lolote liwapate
Janjajanja Ivory Coast mbio za sakafuni huishia ukingoni.