Nzige Mdudu
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 1,048
- 830
Kwasababu kwa Africa, Waarabu ndio wenye mpira wao. Wamewahi kututangulia kisoka.Mechi za ambazo wanacheza waarabu naona zinakuwa na watu wengi compare na mechi za kawaida.
Mechi ya Cameron na hii naona wamejaza uwanja
Mechi zote zilizochezwa mpaka sasa nimeridhishwa na ushindani unaoonyeshwa, kila mechi ni burudani.Kweli
Mimi binafsi ya Nigeria sikuielewa kabisaMechi zote zilizochezwa mpaka sasa nimeridhishwa na ushindani unaoonyeshwa, kila mechi ni burudani.
Kiongozi nipo Live, japo nimeikuta game ilikua HT.Hhaha kwahiyo ukaona na wewe ucheki Gam mkuu
Nikweli kabisa. Yaani hata timu inayofungwa unaona imepambana hasaMechi zote zilizochezwa mpaka sasa nimeridhishwa na ushindani unaoonyeshwa, kila mechi ni burudani.
Ilikuwa nzuri sema Nigeria [emoji1184] forward ilikosa utulivu tu.Mimi binafsi ya Nigeria sikuielewa kabisa
Lakini kwasasa zama zao ni kama zinaanza kupita hivi, kuanzia CAFCL, CAFCC na hata hii AFCON waarabu wameanza kuzoeleka tofauti na walivyokuwa wakiogopewa zamani.Kwasababu kwa Africa, Waarabu ndio wenye mpira wao. Wamewahi kututangulia kisoka.
Mmoja lazima apigwe hapa.Hii game inaisha sare
Mpr wa Algeria mzr kwa sbb ni watu wa msako.Nakubali Mkuu. Mbungi inapigwa ya 10,000/=
Usitegemee maajabu katika team ya "Nani Kama Mama"Huu mpr unaopigwa na kila team had ss.. Nasbr na zamu yetu kichwa cha mwendawazimu tuone.
Maana usije kuta sisi ndo nchekea kwny hii michuano.
Hamna mkuu bado dk 10 pamoja na nyongeza sioni goli hapa.Mmoja lazima apigwe hapa.
Kiukwl hata mm naona sisi tunaweza kua nchekea.. Sbr tuone kesho sio mbali itajulikana tu tumeingiaje kwny michuano hii.. Kesho ndo tutajua tulipenya penya vp.Usitegemee maajabu katika team ya "Nani Kama Mama"
Yes Leo uwanja umetema walau.Mahudhurio kwenye mechi za leo warau yanaridhisha ikilinganishwa na mechi nyingine (tofauti na ile ya ufunguzi).
Ni kweli mkuu, kwa sasa wameanza kuzoeleka. Soka limeimarika kutoka kanda zingine nje ya waarabu.Lakini kwasasa zama zao ni kama zinaanza kupita hivi, kuanzia CAFCL, CAFCC na hata hii AFCON waarabu wameanza kuzoeleka tofauti na walivyokuwa wakiogopewa zamani.