Ndo nimetoka kusema hapa. Afadhali tukalale mapema.Kwa jinsi Nigeria [emoji1184] wanavyocheza hatuendi 120 hapa. Watapigwa cha pili dakika 6 tu baada ya cooling brake.
Ivory Coast wanabahati sana msimu huu hasa pale walipoingia kwa bahati hiyo
Hawa ivory coast wana bahati aiseeBest Loser wanafanya maajab
Haller ni fundi mzee, Mwaka Jana ali piga goli za kutosha kwenda hatua za makundo uefaafu kuna kenge alikua anakwambia Haller ameisha wabongo bwana wanazani kujua kucheza mpira ni kukimbia kimbia ovyo
Deal [emoji3581] Done [emoji3581]Nigeria [emoji1184] miyeyusho wanacheza Final kitoto sana kazi wanayo sijui kama watatoboa
Ivory Coast Anaweza Kupata Goal Tena Ndani Ya DK Hizi Chache