Hassan Mambosasa
JF-Expert Member
- Aug 2, 2014
- 3,359
- 4,528
Nigeria wana kikao cha dharura golini kwa Ivory coast
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
PoleNataman nigeria wasawazishe twende dk 120. Hlf mechi iishe kweny penat
Eeh yn hyo ndo maajab ya mpiraKama ureno kipindi kile
Hayo magoli walikua wanafunga Kiza Zlatan Ibrahimovicafu kuna kenge alikua anakwambia Haller ameisha wabongo bwana wanazani kujua kucheza mpira ni kukimbia kimbia ovyo
Minilikwambia tunabaki hapahapaIvory coast nilisema mimi wamezindika viwanja vyao
Huyu Rais wa fifa mbona kalegea sana wooi
hakuna Goli la kusawazisha apaNataman nigeria wasawazishe twende dk 120. Hlf mechi iishe kweny penat
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] niliona mapema sana.Mkuu ulichungulia kwa mtaalam gani[emoji23]
Dg anajua Sana anawachekecha Sana Nigeria upande huo.Huyu dogo wa Ivory Coast anaye cheza namba kumi na moja anaubonda mwingi mno, kwangu ndiye man of the match.
Ivory wamesimika sio poaaaaNahisi Nigeria anaweza akapata chuma ya pili…
washamaliza uko.. washikilie bomba sasKwa jins ivory coast wanavopush, mda wowote wanaweza pata goli. Nigeria wamerelax yn wamebanwa kweli.
Unamaanisha anamzidi Kassie?Huyu dogo wa Ivory Coast anaye cheza namba kumi na moja anaubonda mwingi mno, kwangu ndiye man of the match.
Wewe kama mchawi😂Ivory Coast Anaweza Kupata Goal Tena Ndani Ya DK Hizi Chache
Wewe kama mchawi😂Ivory Coast Anaweza Kupata Goal Tena Ndani Ya DK Hizi Chache
ilo jamaa ni Bonge moja la mshambuliaje Africa hii hamna ata lile Goli alilowafunga Congo sio la kawaidaHayo magoli walikua wanafunga Kiza Zlatan Ibrahimovic
Itakua vzr lkn naona ngumu.Nahisi Nigeria anaweza akapata chuma ya pili…