2024 Africa Cup Of Nations (AFCON) | Special Thread. Mechi ya fainali, FT: Nigeria 1 - 2 Ivory Coast. Ivory coast abeba ubingwa. 11.02. 2024

2024 Africa Cup Of Nations (AFCON) | Special Thread. Mechi ya fainali, FT: Nigeria 1 - 2 Ivory Coast. Ivory coast abeba ubingwa. 11.02. 2024

Ivory Coast ni kama ilivyotokea Denmark kwenye Euro 1992

Jamaa hawakufuzu ghafla wakaitwa mashindanoni wiki kadhaa baada ya Yugoslavia kuzuiwa kushiriki michuano kwasababu za kisiasa.

Denmark kutoka kutokufuzu mpaka wakaenda kubeba ndoo!!
ivory coast kuna watu watu kama watano ivi kwenye first eleven yao wamefanya timu imebadilika sana Seri,Adingra,Kossonou, Haller na Diakite
 
Back
Top Bottom