MgosiMnubi
JF-Expert Member
- Dec 6, 2022
- 890
- 1,487
Nilikwambia mkuuHapa hakuna namna sidhani kama tutarudisha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nilikwambia mkuuHapa hakuna namna sidhani kama tutarudisha
Kwangu mimi kamzidi Kassie,zaidi 80% ya mashambulizi ya Ivory Coast yametokea kwake.Unamaanisha anamzidi Kassie?
Watu MafundiMkuu ulichungulia kwa mtaalam gani[emoji23]
Ivory coast nilisema mimi wamezindika viwanja vyao
Ila hajakaza yaani sijui yupojeJana alikuwa kwenye fainali za Asia so ameshinda angani km mwewe
Assist 2 zote zakeSimon Adingra ataondoka na zawadi/Tuzo/Ntuzo ya mchezaji Bora chipukizi/Kijana wa Afcon 2023 bila shaka!
Goli zote mbili Assist ni zakeKana maamuzi sahihi sana
Mh zimebsk dk 3 sijui japo mpira una maajabu yakeNahisi Nigeria anaweza akapata chuma ya pili…
Mmerudiana au..😀Tokea waondoke nina raha sana. Hata babe akiangalia mpira nina amani.
Zimebaki sura ngumu tu, sina pressure.
Kuna wakati ilikuwa najiuliza, ina maana nae anaona hivi pia? Dah
Wewe kama mchawi[emoji23]
Za refa kama 7Mh zimebsk dk 3 sijui japo mpira una maajabu yake
ivory coast kuna watu watu kama watano ivi kwenye first eleven yao wamefanya timu imebadilika sana Seri,Adingra,Kossonou, Haller na DiakiteIvory Coast ni kama ilivyotokea Denmark kwenye Euro 1992
Jamaa hawakufuzu ghafla wakaitwa mashindanoni wiki kadhaa baada ya Yugoslavia kuzuiwa kushiriki michuano kwasababu za kisiasa.
Denmark kutoka kutokufuzu mpaka wakaenda kubeba ndoo!!
Cost wamerudi nyum ndo maanNigeria Huu Mchezo Wanaocheza Saivi Walikuwa Wapi
Ila hajakaza yaani sijui yupoje