2024 Africa Cup Of Nations (AFCON) | Special Thread. Mechi ya fainali, FT: Nigeria 1 - 2 Ivory Coast. Ivory coast abeba ubingwa. 11.02. 2024

2024 Africa Cup Of Nations (AFCON) | Special Thread. Mechi ya fainali, FT: Nigeria 1 - 2 Ivory Coast. Ivory coast abeba ubingwa. 11.02. 2024

IMG_9926.jpeg
 
Yan sasa mwijaku atamwambia nini samata kwenye mpira ? Watu wanapiga boli Ulaya huko ye yupo mpiji magohe wapi na wapi ? Yan nlikasirika sana, wamechukua watu vikindu huko sijui, kongozoma sijui wakamshauri novatus dismas namna ya kuzuia kama beki , aloo hii nchi ina ujinga mwingi sana
Aibu Sanaa ..ht hyo mwaka tukiandaa tusuburie tu kufungwa kwenye mtoano
Na bora tusishinde maaana watamsifia Mama mpk baasi

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
1. Golden Gloves, Williams S. Africa
2. Fair Play. S. Africa
3. Golden Boot. Emmilo Nsue, E. Guinea
4. Player of the Tornament Ekong, Nigeria

Hakuna Tuzo ya mchezaji Bora Chipukizi, ingekuwepo angebeba Simon Adingra.
Huyu dogo winga tereza hata hapo brighton huwa anakiwasha sana akicheza aloo acha kabisaaa huyo adingra nomaa
 
1. Golden Gloves, Williams S. Africa
2. Fair Play. S. Africa
3. Golden Boot. Emmilo Nsue, E. Guinea
4. Player of the Tornament Ekong, Nigeria

Hakuna Tuzo ya mchezaji Bora Chipukizi, ingekuwepo angebeba Simon Adingra.
Huyu Simon Andigra anaupiga mwingi na anajua kukata umeme,na kutoa pass,kupiga cross nk.Huyu dogo ninaamini atatafutwa sana na team kubwa Laliga,bundes, ligue 1 na EPL
 
Back
Top Bottom