Na naona waliambizana wamalize Mchezo mapema ndani ya dakika 90, maana walijua wangejichanganya tu kufika kwenye penalties kwisha habari yao, maana kipa wa kudaka mikwaju pale hawanaLeo ivory coast kapiga mpira mkubwa Sana, kamkamata Nigeria kila idara[emoji4]
Hahaha kwa kweli Ivory Coast wametusave waafrica from noise pollution, this Was Africa vs Nigeria, kila mwafrika anawafahamu hao raia kwa dharau zao na kujikuta
Na naona waliambizana wamalize Mchezo mapema ndani ya dakika 90, maana walijua wangejichanganya tu kufika kwenye penalties kwisha habari yao, maana kipa wa kudaka mikwaju pale hawana
Nimefurahi sana.Hongereni, mcheza kwao hutuzwa.
Gwele
Nigeria wanalia kwa kupoteza kombe ambalo lilikuwa mbele yao.
Mwaka jana jirani zetu wa jangwani moment kama hii wao walikuwa na vibe kwasababu wanauhakika wa kuvaa medali.
Mi nikishakuwa na shaka huwa inakuwa tofauti.Pole sana Dada
Mashabiki wengi wamewatia gunduπ
Timu pekee ambayo ingeniumiza kama ingeingia fainali ni Senegal basi, hawa wengine kawaida.Nimefurahi sana.
Halafu mimi napenda sana underdog anayekuwa underestimated kama Ivory Coast anaposhinda.
Watu wote wamemuwekea macho Morocco, kapigwa.
Halafu anakuja Ivory Coast tulimuona msindikizaji tu, anachukua kombe.
Senegal wamekukosea nini jamani?Timu pekee ambayo ingeniumiza kama ingeingia fainali ni Senegal basi, hawa wengine kawaida.
Iβm happy for Haller, nimetokea kumkubali sana dogo.
Hujaelewa? Yani ningeumia kwa kufungwa kwao.Senegal wamekukosea nini jamani?
Hahaha dadeki wamejua kuwavua nguo ndugu zao, siyo parties kuzimwa tu yani hadi mikeka mingi imechanwa leo, watu waliingia na matokeo yao mifukoniUmeona eeh?
Hizo parties zao zilizopangwa zote zimezimwa. Tungekosa cha kusema.
Ivory Coast wametusitiri sana tu.
Yani wale siyo kwenye mpira tu, wao kila sector huwa wanajiona maisha wameyapatia, sasa leo hawajaamini walichokionaKuna shuti kipa wao alidaka ,wanaona maisha wameyapatia
Likalala chini linajigaragaza[emoji23]
Muda huo wapo mbele kwa bao moja
Wanaijeria ni watu wa vurugu tu. Wanajionaga wao ndio kila kitu. Ndio maana wengi ni masikini na nchi yao ina hali ngumu. Mpaka wanaikimbia kabisa π€£π€£, yaani hawataki hata kurudi π€£π€£π€£ wanaogopa wahala π€£ wanaiita JAPAYani wale siyo kwenye mpira tu, wao kila sector huwa wanajiona maisha wameyapatia, sasa leo hawajaamini walichokiona
we nae ulale ulinde ndoa saa tisa hii upo huku unabishana duh!...πDunia nzima mwanaume yupo huyo mmoja tu?
Hiyo ndoa umenipa wewe? Acha ujinga.we nae ulale ulinde ndoa saa tisa hii upo huku unabishana duh!...π
sikuhizi unamijineno sio kama zamani! haya kaka wa watu ushaniita mjinga! kutoa ushauli tu wakulinda penzi la ndoa! nimekoma..πHiyo ndoa umenipa wewe? Acha ujinga.
Aah, OK. Nimekuelewa sasa.Hujaelewa? Yani ningeumia kwa kufungwa kwao.
Hiyo ndio timu pekee niliipenda baada ya Tanzania.