2024 Africa Cup Of Nations (AFCON) | Special Thread. Mechi ya fainali, FT: Nigeria 1 - 2 Ivory Coast. Ivory coast abeba ubingwa. 11.02. 2024

2024 Africa Cup Of Nations (AFCON) | Special Thread. Mechi ya fainali, FT: Nigeria 1 - 2 Ivory Coast. Ivory coast abeba ubingwa. 11.02. 2024

Leo ivory coast kapiga mpira mkubwa Sana, kamkamata Nigeria kila idara[emoji4]
Na naona waliambizana wamalize Mchezo mapema ndani ya dakika 90, maana walijua wangejichanganya tu kufika kwenye penalties kwisha habari yao, maana kipa wa kudaka mikwaju pale hawana
 
Kuna shuti kipa wao alidaka ,wanaona maisha wameyapatia
Likalala chini linajigaragaza😂
Muda huo wapo mbele kwa bao moja
Hahaha kwa kweli Ivory Coast wametusave waafrica from noise pollution, this Was Africa vs Nigeria, kila mwafrika anawafahamu hao raia kwa dharau zao na kujikuta
 
Lile kipa linakuvuruga kisaikolojia na sura lake na mwili wake kilivyo giant
Na naona waliambizana wamalize Mchezo mapema ndani ya dakika 90, maana walijua wangejichanganya tu kufika kwenye penalties kwisha habari yao, maana kipa wa kudaka mikwaju pale hawana

Halafu linapangua mkwaju wako
 
Nimefurahi sana.

Halafu mimi napenda sana underdog anayekuwa underestimated kama Ivory Coast anaposhinda.

Watu wote wamemuwekea macho Morocco, kapigwa.

Halafu anakuja Ivory Coast tulimuona msindikizaji tu, anachukua kombe.
Timu pekee ambayo ingeniumiza kama ingeingia fainali ni Senegal basi, hawa wengine kawaida.

I’m happy for Haller, nimetokea kumkubali sana dogo.
 
Timu pekee ambayo ingeniumiza kama ingeingia fainali ni Senegal basi, hawa wengine kawaida.

I’m happy for Haller, nimetokea kumkubali sana dogo.
Senegal wamekukosea nini jamani?
 
Umeona eeh?

Hizo parties zao zilizopangwa zote zimezimwa. Tungekosa cha kusema.

Ivory Coast wametusitiri sana tu.
Hahaha dadeki wamejua kuwavua nguo ndugu zao, siyo parties kuzimwa tu yani hadi mikeka mingi imechanwa leo, watu waliingia na matokeo yao mifukoni
 
Yani wale siyo kwenye mpira tu, wao kila sector huwa wanajiona maisha wameyapatia, sasa leo hawajaamini walichokiona
Wanaijeria ni watu wa vurugu tu. Wanajionaga wao ndio kila kitu. Ndio maana wengi ni masikini na nchi yao ina hali ngumu. Mpaka wanaikimbia kabisa 🤣🤣, yaani hawataki hata kurudi 🤣🤣🤣 wanaogopa wahala 🤣 wanaiita JAPA
 
Back
Top Bottom