Ngoja tuwachapeeeUto wote wapo mali leo[emoji3]
Haswaaa yaan.
Mpr wa siku izi umebadilika sana makocha wengi wanataka kipa awe na footwork nzr zaid kwa sbb build up nzima ya mchezo inaanzia kwake ikiwemo kufanya good distribution ya long range bullet passes in Late Kashasha Voice [emoji23]Makipa wote wa Mali na South ni magolikipa wa kisasa. Wana utulivu mguuni wakiwa na mpira
Namibia si ndo yuko Shalulile?Namibia sikuwategemea wana mpira wa kueleweka. Stars naona hakutakua na kitu, kupeleka CCM na mropokaji Chalamila imenikata maini, kwamba unapeleka Chalamila?
Si Bora Bongozozo
onana anakimo cha kawaida tu,kuna yule kipa wa Ac milan mike maignan kimo chake si kama diarra tuTatizo kimo
Hizi njama dhidi ya de geaMpr wa siku izi umebadilika sana makocha wengi wanataka kipa awe na footwork nzr zaid kwa sbb build up nzima ya mchezo inaanzia kwake ikiwemo kufanya good distribution ya long range bullet passes in Late Kashasha Voice [emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hii afcon wakamaria wanatembea kwenye moto
Nilitaka kusema hili. Kuna huyo Modiba anayecheza kama beki 3 nilitamani sana kumuona akiwa katikati.Hiki kiungo cha SA kimejaa vipaji sana kuanzia kwenye ukabaji hadi ushambuliaji.
Mamelod ana top cream team.
wew bado unaiwazia CCM tu utakufa siku sio zako Eti timu ya taifa had leo ina omba omba mara sjui mchango mara sjui Baba levoKwa jinsi timu zinavyoubonda hapa bado naiwazoa stars
Mchawi bana hakosi sababu ya kukulogeaHakuna save yoyote ya maanakwa timu zote ni mashuti madogo na yasiyo na macho
Hii ya south mwishoni at least japo timu zote zinaubonda freshHata hicho kichwa?
Mimi naenjoy mpira wa South Africa, jamaa wanapiga mpira na hili wala sio swala la ujiko.Ndio japokuwa ni home boi tuwe tunaangalia na circumstances tuditoe tu ujiko kwa kila kitu