2024 Africa Cup Of Nations (AFCON) | Special Thread. Mechi ya fainali, FT: Nigeria 1 - 2 Ivory Coast. Ivory coast abeba ubingwa. 11.02. 2024

2024 Africa Cup Of Nations (AFCON) | Special Thread. Mechi ya fainali, FT: Nigeria 1 - 2 Ivory Coast. Ivory coast abeba ubingwa. 11.02. 2024

Makipa wote wa Mali na South ni magolikipa wa kisasa. Wana utulivu mguuni wakiwa na mpira
Mpr wa siku izi umebadilika sana makocha wengi wanataka kipa awe na footwork nzr zaid kwa sbb build up nzima ya mchezo inaanzia kwake ikiwemo kufanya good distribution ya long range bullet passes in Late Kashasha Voice [emoji23]
 
Hiki kiungo cha SA kimejaa vipaji sana kuanzia kwenye ukabaji hadi ushambuliaji.

Mamelod ana top cream team.
Nilitaka kusema hili. Kuna huyo Modiba anayecheza kama beki 3 nilitamani sana kumuona akiwa katikati.
Jamaa akiwa kati huwa ni fundi sana na left yake.
Unakumbuka goli la 2 dhidi ya Wydad fainali ya African Football League?

Mamelody hapo wapo 6. Hatari sana.

Wananikumbusha ile Spain [emoji633] iliyotwaa World Cup 2010 ilikuwa inatembea na rhythm ya Barcelona
 
Ndio japokuwa ni home boi tuwe tunaangalia na circumstances tuditoe tu ujiko kwa kila kitu
Mimi naenjoy mpira wa South Africa, jamaa wanapiga mpira na hili wala sio swala la ujiko.

Hivi ni lini ligi yetu itaanza kuzalisha wachezaji wazawa wenye uwezo mkubwa kama ilivyo kwa hawa wenzetu?
 
Back
Top Bottom