2024 Africa Cup Of Nations (AFCON) | Special Thread. Mechi ya fainali, FT: Nigeria 1 - 2 Ivory Coast. Ivory coast abeba ubingwa. 11.02. 2024

Mimi naenjoy mpira wa South Africa, jamaa wanapiga mpira na hili wala sio swala la ujiko.


Hivi ni lini ligi yetu itaanza kuzalisha wachezaji wazawa wenye uwezo mkubwa kama ilivyo kwa hawa wenzetu?
Mpaka tuweke mifumo wezeshi

Wenzetu hawakuamka na kujikuta wapo hapo, ni jitihada na uwekezaji.

Sasa mpira wetu sisi bado upo kwa ajili ya kuitumikia siasa unafikiri huko tutafika kwa speed hii?
 
Ila Zwane ni talent kubwa sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…