Hii inakupa picha ni kwanini team iliyikuwa inashuka daraja huko PSL ili sumbuana sana na vigogo kwenye shirikisho, tena ikiwa na wazawa tu.Aisee south africa wanaubonda sio mchezo,hawa wajinga wanajua bolu hatari
Nje ya BoxTuta kwa Mali
wacha makaburu yapigwe tuTuta kwa Mali
Ndio Mchezo.Mmepata tuta mmekosa... wamepata foul wamekuadhibu.. Tau