Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 24,262
- 58,728
Na mkafa viwiliTiketi yangu bado ipo kwa wazulu
Na wazambia piaKabisa
Ulipotelea wapi weweCameroon wamerudisha goli bana duh
Ukweli mchungu huu
Refer AFCOn iliyopitaGolikipa #1 alikuwa nani? Diarra (miaka 28) na captain wake Hamari Traore (miaka 31) ndio wachezaji pekee (active) waliocheza mechi nyingi timu ya taifa ya Mali kila mmoja mechi 54.
Ukiangalia wastani wa michezo aliyocheza Diarra tokea aanze kucheza timu ya taifa ya Mali mwaka 2015 ni mechi 6 kwa mwaka. Hizi sio takwimu za golikipa #2 wa timu ya taifa. Timu za taifa hucheza wastani wa mechi 6 mpaka 8 kwa mwaka.
Droo ya kabatiJamani leo taifa stars vipi draw sii tunapata
Huku tuna kamati za hamasa za akina baba levoInauma sana mkuu hada nikiona namna Namibia na Mozambique wanavyovuja jasho kumhenyesha mwarabu. Nikijaribu kuvuta picha na huku kwetu naishia kucheka tu
Mechi bado haijachezwa ila tayari ulishajikatia tamaa.Inauma sana mkuu hada nikiona namna Namibia na Mozambique wanavyovuja jasho kumhenyesha mwarabu. Nikijaribu kuvuta picha na huku kwetu naishia kucheka tu
Maelezo yako yamejawa na chuki na u Simba na Yanga 180CM ni mfupi? Fabien Bartez alikua ni world class urefu wake sawa na Diarra, Iker Casllas one of the best alikua na urefu wa 182CM ukiwa unaongea vitu angalia unaongea na kina naniHuo ndio uhalisia hata adake vipi huko Afcon hakuna klabu ya Ulaya itatamani kuwa na kipa mfupi wa kimo chake na hicho ndio kimemfanya mpaka sasa kuwa ligi yetu hii na wala hawezi kutoka kwenda sehemu ya maana labda kwa majirani zetu hapa hapa afrika
Average heights ya makipa bora duniani inaanzia 1.89m (6.2 feet) ila kwa wafupi kabisa kucheza Ulaya ni atleast uwe na 1.83m (6 feet)kwan mtaalamu kipa mzuri kimo ni ngapi anapaswa kuwa nacho
Fabieb Barthez ndio golikipa mfupi zaidi kuwahi kuwa na mafanikio katika soka la ulaya na dunia kwa ujumlaMaelezo yako yamejawa na chuki na u Simba na Yanga 180CM ni mfupi? Fabien Bartez alikua ni world class urefu wake sawa na Diarra, Iker Casllas one of the best alikua na urefu wa 182CM ukiwa unaongea vitu angalia unaongea na kina nani View attachment 2874287View attachment 2874288View attachment 2874289
Leo Tanzania tunakipiga na Morocco saa mbili usiku![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kweli Jombaa, Afcon 2021 golikipa alikuwa Ibrahim Mounkoro (miaka 33) kutoka TP Mazembe ila amecheza mechi 14 tu timu ya taifa ya Mali kabla ya kuachwa kuelekea michuano hii alikuwepo ktk provissional squad. Unaelewa hoja yangu? Golikipa anayecheza mechi za timu ya taifa zisizopungua 6 kwa mwaka sio backup. Refer pia Afcon ya 2019, utagundua miaka miwili mbele yaani 2021 golikipa #1 alikuwa dropped kumpa nafasi golikipa aliyekuwa moto ila hana uzoefu ngazi ya timu ya taifa (Mounkoro).Refer AFCOn iliyopita
Tofauti ya magoli kipa wa zamani na sasa ni footwork sio height tena siku hizi hakuna timu inacheza mipira ya juu kama zamani kifupi ni kwamba huna hoja labda nikupe home work katafte kipa wa Villadolid Jordi Masip (179cm na Kipa wa Borussia M'gladbach Tobias Sippel (180) uniambie hao wapo ligi ganiFabieb Barthez ndio golikipa mfupi zaidi kuwahi kuwa na mafanikio katika soka la ulaya na dunia kwa ujumla
Kipindi anacheza Barthez Ulaya kulikuwa na magolikipa wengi wafupi wa vimo vyake lakini kwa soka la kisasa haliruhusu tena golikipa mfupi kama Barthez au Diarra kudaka
Na kama unabisha katika ligi zote tano kubwa ulaya zikiwa ni timu karibia 100 nitafutie golikipa mmoja tu mwenye height sawa na Diarra 1.79m au hata sawa na Barthez 1.8m sio lazima acheze timu kubwa nitafutie hata kwa timu zinazoshika mkia kwenye hizo ligi kama utampata
Kuhusu Cassilas sijui kwanini umemleta hapa na unajua ni Clear kabisa amemzidi Diarra
Cassilas ana 1 82m wakati Diarra ana 1.79m hivi wewe huoni utofauti hapo mkuu au kwako namba ni shida?
Nitajie huyo mwenye foot work nzuri ila height ya Diarra anayecheza ulaya kama ulivyomtaja Barthez na IkerTofauti ya magoli kipa wa zamani na sasa ni footwork sio height tena siku hizi hakuna timu inacheza mipira ya juu kama zamani kifupi ni kwamba huna hoja