Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 49,759
- 118,798
Kuna mchezaji wa Equatorial Guinea utadhania wale wacheza Basketball wa NBA.Ila West Africa ni Ma giant balaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna mchezaji wa Equatorial Guinea utadhania wale wacheza Basketball wa NBA.Ila West Africa ni Ma giant balaa
Naskia Kuna covidUwanja mweupe pee . Bora hata iliyopita cameroon walikuwa wanajaa jaa. Ivory Coast itakuwa njaa kali.
🤣Kuna mchezaji wa Equatorial Guinea utadhania wale wacheza Basketball wa NBA.
Sisi tuna balaa hii game tunashinda hii
Inaonekana Mkuu. Nigeria wana hatari zaidi ya Equatoria Guinea.Sisi tuna balaa hii game tunashinda hii
Soon maji wataita mma🤣😁😁 sema majamaa ni wazuri sana mbele wakipigwa mpira mbele Mimi naogopa sanaInaonekana Mkuu. Nigeria wana hatari zaidi ya Equatoria Guinea.
Giants kweli kweli.Kuna mchezaji wa Equatorial Guinea utadhania wale wacheza Basketball wa NBA.
Sema hawa jamaa sio wadhaifu.Unataka kusema hawakutarajia?
Wataweza tuHuu Mpira Stars wataweza kweli?
Hahahaaa. Acha kabisa Mkuu.Giants kweli kweli.
Ndio wakutane na akina Feisali 😂😂😂.
Tutashuhudia maajabu
Yah! Kadri muda unavyosogea nawao wanaonekana wana kitu.Sema hawa jamaa sio wadhaifu.
Natamani Nigeria wapigwe.Yah! Kadri muda unavyosogea nawao wanaonekana wana kitu.
Africa Jiografia yetu ngumu kidogo.Africa viwanja hatujai jai na mashindano ni yetu,
Sjui ni uchumi au passion zero