2024 Africa Cup Of Nations (AFCON) | Special Thread. Mechi ya fainali, FT: Nigeria 1 - 2 Ivory Coast. Ivory coast abeba ubingwa. 11.02. 2024

2024 Africa Cup Of Nations (AFCON) | Special Thread. Mechi ya fainali, FT: Nigeria 1 - 2 Ivory Coast. Ivory coast abeba ubingwa. 11.02. 2024

Najuta kulibeba azam wakati nina DStv ndani, DSTV wangesema mapema damn, ila kubadili tena inakua kesheshe.

Azam quality tatizo, pia Michambuzi yao mibovu, haina timing, yaani angle moja inarudiwa mara 20, huoni amsha amsha za mashabiki kuingia uwanjani,. Kiujumla wapo kama wana NBC PL
Pole mkuu.
Hii michuano uicheki huku unapata kilaji kidogo.
Mwambie mke akuachie.
 
Back
Top Bottom