City Of Lies
JF-Expert Member
- Sep 8, 2011
- 4,925
- 6,137
Hawa mabishoo super eagle bure kabisa wanaweza wasitoboe makundi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watatoboa.Hawa mabishoo super eagle bure kabisa wanaweza wasitoboe makundi.
🤏 ilibaki hivi!!Shindwaa
Yeah! wanakichapa na Wamakonde!Baadae tuwaone mafarao
Naunga mkono hojaYeah! wanakichapa na Wamakonde!
wenzetu kabisa hawa.
Sema sasa hapa tunapiga two in One!
Man U vs Tottenham
Nasimama na MozambiqueNaunga mkono hoja
Huna baya, enjoy!😂😂
Pole mkuu.Najuta kulibeba azam wakati nina DStv ndani, DSTV wangesema mapema damn, ila kubadili tena inakua kesheshe.
Azam quality tatizo, pia Michambuzi yao mibovu, haina timing, yaani angle moja inarudiwa mara 20, huoni amsha amsha za mashabiki kuingia uwanjani,. Kiujumla wapo kama wana NBC PL
Hao ndio hovyo kabisa 😂😂😂Next time bora hata startimes, hii michuano ikipita napandisha Startimes na DSTV
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Ulichokiandika hapo ni sawa na kusema Mvua itanyesha kati ya siku zifuatazo:
Jumatatu, jumanne, jumatano, alhamis, ijumaa, jumamosi au jumapili.
Kidogo wako na channel zangu pendwa za kichina na Bollywood, alafu me na NBC PL sio sana. Sometimes nataka kuongeza exposure, na mashindano startimes channel zake zina uangavu sana.Hao ndio hovyo kabisa 😂😂😂
Damn asee, sijaoa nadhani ndio imefanya nikichukie, maana ukitoa ball la quality ndogo hamna kingine.Pole mkuu.
Hii michuano uicheki huku unapata kilaji kidogo.
Mwambie mke akuachie.
Anhaa basi sawaKidogo wako na channel zangu pendwa za kichina na Bollywood, alafu me na NBC PL sio sana. Sometimes nataka kuongeza exposure, na mashindano startimes channel zake zina uangavu sana.
Azam ukitoa mpira si inakua ya wadada tu.