Mto Songwe
JF-Expert Member
- Jul 17, 2023
- 6,683
- 14,060
Mechi bado haijatulia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kama taifa stars iitwe wahaNi ndugu zetu kabisa,
tunapakana nao kule mtwara.
Hapana.kama taifa stars iitwe waha
Hata mimi nilisema the sameTangu siku ile nilisema kuwa waliokuwa wanalalamikia dakika, hawajui mpira na ni WAJINGA wa kutupwa.
Ile haikuwa point ya kulalamikia kabisa.
Wale Msumbiji wanajua bwana mpira umetulia modern kabisaBaada ya kuona game ya Msumbiji na Misri nimeona nafasi ya Tanzania kufika mbali iwapo itakaza.
Kuna baadhi ya timu zina wachezaji wenye majina makubwa lakini ukubwa huo hauna muunganiko kwenye timu ya taifa.
Kama tukikaza naamini tunavuka hii stage
Kuota ni hakiBaada ya kuona game ya Msumbiji na Misri nimeona nafasi ya Tanzania kufika mbali iwapo itakaza.
Kuna baadhi ya timu zina wachezaji wenye majina makubwa lakini ukubwa huo hauna muunganiko kwenye timu ya taifa.
Kama tukikaza naamini tunavuka hii stage
Taifa stars inaweza kupata matokeo kwa team ipi ambayo tayari imecheza?Baada ya kuona game ya Msumbiji na Misri nimeona nafasi ya Tanzania kufika mbali iwapo itakaza.
Kuna baadhi ya timu zina wachezaji wenye majina makubwa lakini ukubwa huo hauna muunganiko kwenye timu ya taifa.
Kama tukikaza naamini tunavuka hii stage