2024 Africa Cup Of Nations (AFCON) | Special Thread. Mechi ya fainali, FT: Nigeria 1 - 2 Ivory Coast. Ivory coast abeba ubingwa. 11.02. 2024

kama taifa stars iitwe waha
Hapana.
Waha wako nchi gani sasa?

Ni kama Warwanda waiite taifa Stars Wahutu au Watusi kutokana na mwingiliano kule Ngara.
Au Wakenya waiite Taifa Stars Wajaluo au Wamasani.

Ndivyo ilivyo kwa Msumbiji.
Wamakonde wako kule, na wapo Mtwara pia ndio maana wanaitwa hivyo na sisi Watanzania
 
Tangu siku ile nilisema kuwa waliokuwa wanalalamikia dakika, hawajui mpira na ni WAJINGA wa kutupwa.

Ile haikuwa point ya kulalamikia kabisa.
Hata mimi nilisema the same

Hoja iliyokuwa na mashiko ilikuwa ni ile controversial ya kona.

Maelezo mengine kuhusu muda yalikuwa ni rubbish tu
 
Baada ya kuona game ya Msumbiji na Misri nimeona nafasi ya Tanzania kufika mbali iwapo itakaza.

Kuna baadhi ya timu zina wachezaji wenye majina makubwa lakini ukubwa huo hauna muunganiko kwenye timu ya taifa.

Kama tukikaza naamini tunavuka hii stage
 
Wale Msumbiji wanajua bwana mpira umetulia modern kabisa
 
Baada ya kuona game ya Msumbiji na Misri nimeona nafasi ya Tanzania kufika mbali iwapo itakaza.

Kuna baadhi ya timu zina wachezaji wenye majina makubwa lakini ukubwa huo hauna muunganiko kwenye timu ya taifa.

Kama tukikaza naamini tunavuka hii stage
Kuota ni haki
 
Taifa stars inaweza kupata matokeo kwa team ipi ambayo tayari imecheza?
 
Back
Top Bottom