Franklin1902
JF-Expert Member
- Aug 1, 2018
- 2,241
- 4,876
Ivi mkuu..ww unaona ni sahihi wenzake wako kambini wanafanya plan za mazoez na tactics yy kwa kua anajiona star sana jana alikua bado Manchester akicheza game ya Tottenham.Haya maisha kuna muda unashindwa hta kuelewa,Onana goal keeper ya Man u kasafiri all the way kutoka Ulaya kwa ndege ya kukodi hadi ivory coast,anafika hayupo kwenye kikosi,nadhani si sahihi na si haki,naiombea Cameroon ifungwe bao kadhaa kwa hili.
Hlf kocha aache watu ambao wamekaa nao kambini mda wote aje ambebe onana ambaye sijui kaingia usiku?.. Hata kama ww ni kocha inaleta maana iyo?
Yy aliona Man u bora kuliko Cameroon asbr wenzake waliokuwepo wacheze... Bora wafungwe lkn kuliko kocha kudharau watu aliokua nao kambini mda wote wanafanya game plan achukue mtu kafika jana usiku.