Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahaa nasikia Jet ya Onana bado ipo Ivory Coast. Anasepa nayo kesho.
MoroccoMpaka sasa sijaona timu ya kuizuia Senagal kutwaa ubingwa, Labda cape verde
MKuu sema ni utani🤣🤣Mpaka sasa sijaona timu ya kuizuia Senagal kutwaa ubingwa, Labda cape verde
Wale Cape Vede naona wamoto.Morocco
Pumzi itakata tu, kikosi finyuWale Cape Vede naona wamoto.
Sisi huku akina Himid ndo first elevenIla team za wenzetu wachezaji ni wadogo wengi. Sisi dah
Ni kama Ivory Coast na Ghana tu.Senegal ligi ya ndani hamna kitu ila wachezaji sijui wanaendaje endaje nje huko
Pole mkuuSio tumeshamuumiza Senegal ndio mnajitokeza
Hautakaa ukawaona. Bongo jau sanaSisi tuliitisha harambee ili tupeleke mashabiki. Najtarajia kesho niwaone akina Mzee wa utopolo uwanjani wakiwa wamejibrandi kama Hawa kwa rangi za bendera ya Tanzania 🇹🇿View attachment 2876713
Wanauza na uraia au?Ni kama Ivory Coast na Ghana tu.
Ivory Coast wana academy bora sana ya Asec ila timu yake huwa sio mzuri kwakuwa wanauza sana wachezaji ulaya