Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Angola wanasakwa balaaili jamaa lenye breach sio likongoman hili
Angola wanasakwa balaa
Hivi kuna timu nyingine kwenye hii michuano ambayo msemaji wake mkuu nj waziri wa michezo kama Stars? Naona ndo anajibu na kutoa maelezo kwa kila kinachoihusu hii timu.
kwanza hatukatakiwa kufunzu kabisa tunatia aibu kweli timu letu Ndio linaongoza kwa kucheza mpira wa ovyo na waajabuHivi timu yetu Stars tulifikaje huku Afcon? Wenzetu wanapiga mpira ingawa wamefungwa.
Cha ajabu ni kwamba serikali inatuomba tuwe wazalendo kwa Stars wakati Tanesco wenyewe hawana uzalendo
wew mechi imeisha kitambo au wew unatazama TBC marudioBreach guy, noma sana.
Kona wanapata Angola hapa, ngoja tuone inakuwaje.
Wamefanya Sub Angola kabla kona haijapigwa.
Full Time.
Mauritania 2-3 Angola
kwanza hatukatakiwa kufunzu kabisa tunatia aibu kweli timu letu Ndio linaongoza kwa kucheza mpira wa ovyo na waajabu
Been there...
wew mechi imeisha kitambo au wew unatazama TBC marudio
Huyu mtangazaji wa kike wa mpira TBC hana swagger/ mbwembwe hanoneshi
Forever and alwaysBeen there...
EendiwooMnaumtaka Nazareth Utepe sio
Eendiwoo