2024 Africa Cup Of Nations (AFCON) | Special Thread. Mechi ya fainali, FT: Nigeria 1 - 2 Ivory Coast. Ivory coast abeba ubingwa. 11.02. 2024

2024 Africa Cup Of Nations (AFCON) | Special Thread. Mechi ya fainali, FT: Nigeria 1 - 2 Ivory Coast. Ivory coast abeba ubingwa. 11.02. 2024

Samatta anakokota mpira anataka kudondoka mwenyewe 😄
Jamaa wanacheza mpira wa kurudisha nyuma tu mwanzo mwisho yaan kidogo mpira wanarudisha nyuma baada ya kwenda kushambulia mbele wao wanarudisha nyuma tu km ndio huu mpira wanaocheza wa kurudisha golini kwako DR Congo watampiga 5 we subiri ushuhudie
 
IMG_9520.jpeg
 
Tuwekeze kwny mpr serious aya mambo ya kutegemea bahat nasibu tuache.

Ukiangalia mpr tunaocheza tu utajua wazi hili taifa wanategemea. Mpr wa Inshaallah yan unga unga mwana.

Tuache mambo ya hamasa wkt tumepata bahat ya kupenyeza sehem tuwekeze tuwekeze tuache ufala.
Nani amewafundisha Stars mpira wa kurudisha nyuma baada ya kucheza kwenda mbele wao wanarudisha nyuma tu hawaendi mbele kushambulia Goli washinde
 
Umfunge Zambia kwa kupeleka mipira golini kwako baadala ya kupeleka Goli la Zambia ulisikia wapi? DR Congo watapiga kipigo cha Mbwa Koko apige mshindo km aliolia Samatta pale alipopigwa cha ubavu
MPira utaendaje mbele wakati viungo wako wa kati hawana huo uwezo.
 
Back
Top Bottom