stow away
JF-Expert Member
- Dec 5, 2022
- 11,073
- 21,945
Jamaa wanacheza mpira wa kurudisha nyuma tu mwanzo mwisho yaan kidogo mpira wanarudisha nyuma baada ya kwenda kushambulia mbele wao wanarudisha nyuma tu km ndio huu mpira wanaocheza wa kurudisha golini kwako DR Congo watampiga 5 we subiri ushuhudieSamatta anakokota mpira anataka kudondoka mwenyewe 😄