Kuna mistakes zisizo na umuhimu anapenda kuzifanyaKwa nini hujamuweka Mwamnyeto ktk upambanaji mahiri?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna mistakes zisizo na umuhimu anapenda kuzifanyaKwa nini hujamuweka Mwamnyeto ktk upambanaji mahiri?
Napoangalizia huwezi sikia sauti ya commentatorUnaangalizia channel gani? Mbona commentator hapa ameitaja timu yake? Yanga
Nimefurahi sana
Huyo ni mpumbavu, hao akina Ayew wameibeba timu mabegani mwao miaka yote hawastahili dhihaka namna hii.
Wewe nae kuwa serious basi, huu ni mjadala mkubwa kwa hao wachezaji wenu average.Kwani hukuwaona Inonga na Chama?
Iv kwa moto anaowasha Jordan Ayew Crystal palace unaanzaje kumuacha
Ha ha ha ha...Wewe nae kuwa serious basi, huu ni mjadala mkubwa kwa hao wachezaji wenu average.
Aziz K, bado.Semeni wenyewe, kwa hii assist Ki anastahili kubaki Yanga?
Katika siku zote leo Ki kacheza vizuri sana, wenzie tu wanamuangusha.Aziz K, bado.
atabaki.
mtakaye mkosa ni Diarra
Yanga ni team ndogo sana, so jibu la swali lako lipo wazi sana wala usiulize swali kama hilo tena.Semeni wenyewe, kwa hii assist Ki anastahili kubaki Yanga?
Nimeishiwa maneno!Mtajutia hizi nafasi
Aziz K ajaribu mwenyewe.Nimeishiwa maneno!
Kipa anafanya bonge na savingFaulo kwa Mauritania
Mi mwenyewe ndio nilikuwa nawaza hivyo, huu sasa ujinga.Aziz K ajaribu mwenyewe.
Anatengeneza nafasi zinapotea
Watakuja shikwa uchaw.. Waache team wakatafute mambo mengne ya msing.