Franklin1902
JF-Expert Member
- Aug 1, 2018
- 2,241
- 4,876
Wengi wanabid waende kupumzka.Best loser hatua hii ndio mwisho wao
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wengi wanabid waende kupumzka.Best loser hatua hii ndio mwisho wao
awa watoto inabidi watokeNa bado kipindi cha pili tunawaongezaa!
Eeh Mungu wa Angola [emoji120][emoji120][emoji16]
Nimejaribu kuangalia replay zote sijaona mgusanoKwa juu hawakugusana ila Kwa miguu waligusana na
wakiongwozwa na ivory coastBest loser hatua hii ndio mwisho wao
Angalia Vizuri kwenye Miguu mkuuuNimejaribu kuangalia replay zote sijaona mgusano
Ngoja niangalie kwenye uchambuzi kama wataonesha tena
Tena hawa wajinga ndo wanabid wale hata mkono.wakiongwozwa na ivory coast
Linazingua sanaaMpira mtamu sana japo chama lako linazingua
Angalia ligi ya Sauzi hela anayopewa man of the match ibadilishe ije kwenye hela zetu uone, nakuunga mkono mpira pesa…Sio kuji under rate huo ni ukweli mchungu.
Hawa simba na Yanga wana cutting Salary zao na wao kwa sbb team bado zinaendeshwa na watu binafsi.
Ww unahis kwnn Mayele kaenda Egypt?.. Unahis chanzo kikubwa ni maokoto.
Mkuu mambo ya kulipa hela sio porojo za Vijiweni mkuu.. Lzm mtoboke.. Ss ww umtoe Kule Dala kwny hela za kumwaga uje umlete huku kwny tia maji tia maji.. Mara leo tajr kaamka hajisikii kulipa kanuna mshahara uchelewe.
Namibia yangu ni walaini sanaKipindi cha pili kwahewa
Huyo ndiye Mwenyekiti wa Viti Maalum (Best Losers)wakiongwozwa na ivory coast
Kama wameshindia urojoNamibia yangu ni walaini sana
Hongera sana na
Saii Mmekosa goli hamfungi tena leo 😊Namibia yangu ni walaini sana
Sema juhudi zake kusaidia timu ni ndogo sanaShalulile move nzr lkn kapaisha.
Tena sana.Sema juhudi zake kusaidia timu ni ndogo sana