2024 Africa Cup Of Nations (AFCON) | Special Thread. Mechi ya fainali, FT: Nigeria 1 - 2 Ivory Coast. Ivory coast abeba ubingwa. 11.02. 2024

2024 Africa Cup Of Nations (AFCON) | Special Thread. Mechi ya fainali, FT: Nigeria 1 - 2 Ivory Coast. Ivory coast abeba ubingwa. 11.02. 2024

Sio kuji under rate huo ni ukweli mchungu.

Hawa simba na Yanga wana cutting Salary zao na wao kwa sbb team bado zinaendeshwa na watu binafsi.

Ww unahis kwnn Mayele kaenda Egypt?.. Unahis chanzo kikubwa ni maokoto.

Mkuu mambo ya kulipa hela sio porojo za Vijiweni mkuu.. Lzm mtoboke.. Ss ww umtoe Kule Dala kwny hela za kumwaga uje umlete huku kwny tia maji tia maji.. Mara leo tajr kaamka hajisikii kulipa kanuna mshahara uchelewe.
Angalia ligi ya Sauzi hela anayopewa man of the match ibadilishe ije kwenye hela zetu uone, nakuunga mkono mpira pesa…
IMG_9619.jpeg
 
Back
Top Bottom