Kasiano Muyenzi
JF-Expert Member
- Feb 3, 2018
- 13,858
- 22,729
😂Vunjabei wa Nambia kafanya yake
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😂Vunjabei wa Nambia kafanya yake
offside ndugu, tena clearkimetokea nini pale?
Offsidekimetokea nini pale?
kipa ndo mchezaji wa mwishoOffside? Wanaangalia kipa aisee...
KabisaKipa kajitahidi sana. Tatizo beki.
Mweupe kbs namuona hata mm.Hata huyu ONDOA hamna kitu hapo golini.
Na goli pia badoo 😊Tulia mpira bado🤣😊😂
Yan ukiona refa kaenda kwny monitor maamuz ya mwanzo yana asilimia karbia 90 kubadilika.Bwana wakitoe iki ki VAR
Huyu Ondoa nae utulivu hana ana papara sana kwenye kutokea kwakeHata huyu ONDOA hamna kitu hapo golini.
Hamna kipa pale.Onana kazi yake ni kufua jersey na kupiga pasi
Had ss wanaruka ruka tu.Ila Cameroon wapo kinyonge sana
Ndugu hao. Mtu na binamu. Wote jau.Huyu Ondoa nae utulivu hana ana papara sana kwenye kutokea kwake
Labda wabadilikeHad ss wanaruka ruka tu.
Ata kwenda Man U kuna udalali utakua ulifanyika.Sasa mkuu chukua hii hlf fatilia.
Ambae anampa onana kiburi ni Eto'o na hakuna mwngne.. Song alikua ashatemana na Onana kitambo tangu mambo ya Onana kumpangia Song namna ya kucheza kipind kile kwny WC.
Ndo Eto'o kuingilia kati lile sakata na kumshawishi Song ambaye pia ni mwanae afunike kombe mwanae arudi.. Na yote kwa sbb onana kapita Academy ya Eto'o.
Ww fatilia utajua kwnn onana karud kwny team.