stow away
JF-Expert Member
- Dec 5, 2022
- 11,073
- 21,945
Mikwaju DR Congo In Egypt OutWashachoka
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mikwaju DR Congo In Egypt OutWashachoka
Hakika sidhani kama watatoboa penalty.Wakiingia penati mkongo ameisha
Mikwaju DR Congo In Egypt Out
Midaa kama hii Messi ndio anaonyesha maajabu
Hapo hapo ulipo uje usherehekee Congo DR In Egypt Out PenaltyTunza hii meseji poti
Yule mwamba angewasaidia sanaKesho Ivory Coast wasahau extra time, watachakaa ndani ya dakika 90 wakome kumuacha Profesa Pacome.
Imani yako ni kali sana dhidi ya Congo.Hapo hapo ulipo uje usherehekee Congo DR In Egypt Out Penalty
Yani kesho naangalia game kwa raha maana naikubali Senegal, angekuwepo ningepata kiwewe.Yule mwamba angewasaidia sana
Kwenye Matuta sio rahisi kutoboa dhidi ya Misri wana wapigaji wazuri na Golie anayejua sana kudaka penaltyHapo hapo ulipo uje usherehekee Congo DR In Egypt Out Penalty
Ni changamoto sanaMikwaju DR Congo In Egypt Out
Basi ndo mana wanapoteza muda kumbe wanajiamin na golikipa waoWakienda matuta Congo wamekwisha, huyo Kipa wa Misri Gabaski Afcon iliyopita ndo aliongoza kudaka penati nyingi kuliko kipa yoyote.... Alidaka Penati za Uwanjani 3 katka mechi tofauti tofauti na zile za Matuta alitoa penati 2, Kwahyo jumla alidaka penati 5 katika mechi zote.
Msiseme sijawaambia Kuhusu Huyo kipa.
Subiri uone maajabu leo Gabasku anavyokufa ki-Equatorial GuineaWakienda matuta Congo wamekwisha, huyo Kipa wa Misri Gabaski Afcon iliyopita ndo aliongoza kudaka penati nyingi kuliko kipa yoyote.... Alidaka Penati za Uwanjani 3 katka mechi tofauti tofauti na zile za Matuta alitoa penati 2, Kwahyo jumla alidaka penati 5 katika mechi zote.
Msiseme sijawaambia Kuhusu Huyo kipa.