Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Maboya hawa nn.. Wanaleta sanaa ss.. Yan kipa kashindwa pangua tuta game iishe.Hawa mafala kama hawatak tulale bora waseme tu wazi.
Oyaaaaaa 🤣INONGA ANACHOMA
Hakuna makipa hapo. Hadi zitoke nje ndiyo zinakuwa siyo bao.Labda hizi timu zina wapiga penati wazuri sana.
Tunamkosa Diarra tu hapa.Makipa ni wabovu sana, ndiyo tatizo.
Ova
Watu mlikua mnasema kipa wa egypt yupo vzr lkn hd ss hajadaka hta mojaHakuna makipa hapo. Hadi zitoke nje ndiyo zinakuwa siyo bao.
Ova
GABOKSI KAPIGA njeeeeeeee 😂🥺😂😂Jamani huyu ndie kipa aliekuwa anasifiwa, Mungu saidia kongo washinde
😂😂😂😂😂😂Egypt out