2024 Africa Cup Of Nations (AFCON) | Special Thread. Mechi ya fainali, FT: Nigeria 1 - 2 Ivory Coast. Ivory coast abeba ubingwa. 11.02. 2024

2024 Africa Cup Of Nations (AFCON) | Special Thread. Mechi ya fainali, FT: Nigeria 1 - 2 Ivory Coast. Ivory coast abeba ubingwa. 11.02. 2024

Kumbe Yule Gabaski Afcon iliyopita Alikua anachupa Ina Taarifa za Kila Mpigaji Penalt na Upande anaopendelea Kupiga, Mechi ya Leo naona Hakua na Hizo taarifa Na Ndio Maana Akajiamulia Penalt zote Aruke upande mmoja Kama Akikumbana Nayo Sawa. Hongera Ba mutu ba Congo.
GABOKSI kaumbuka vibaya naona aliambiwa Goli kipa wa Kongo akimfumulia shuti juu ya Goli hadaki akafumua kweli juu na kitu kikaenda mnazi kitu nje Egypt Out

GABOKSI amekua man of the match mdaka mishale katoboka toboka leo eti gaboksi gaboksi ameumbuka
 
Goli kisiki kiazi kweli kweli
Heri angelenga kipa adake


Ndio huyu walisema mzuri sana kwa mikwaju..nikajua ni kama kipa la Morocco na Argentina.

Mweupe jamaa,hata Manula anamzidi kudaka mikwaju.
Anaenda upande mmoja TU upande wa kulia kushoto haendi hataki kuvunjika bandama Goli zote ZIMEENDA kushoto isipokua ya yule beki wa Simba Inonga sijui ndio alimpigia kulia nayo kamtoboa
 
Back
Top Bottom