Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vede wanaongoza hapa la kwanzaNgapi ngapi
Mwambie kabisa ni Dakika ya 90.Vede wanaongoza hapa la kwanza
HakikaTolu kaonewa
Wamebahatisha bao yule beki kawauza wenzie Mbuzi yuleCV sio wakupigwa na MTN, utanielewa baadae
Wapambane warudishe, kufungwa dk za mwishoni inauma sana mpaka nimewaonea huruma