Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
Team baadaye akishakuwa staaMbinafsi sana, iko wapi faida ya team work?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Team baadaye akishakuwa staaMbinafsi sana, iko wapi faida ya team work?
Wakikutana na Timu kama Angola itakuwa moto maana kama wanafanana uchezaj waoCape Verde watafika mbali
Wangefika matuta hawa.Hata hivyo wangefungwa tu wanaonekana wamechoka kabisa
Yap!Ooh kumbe wanaongea kireno...ndo maana wana rangi adimu..mchanganyiko wa nyeupe na nyeusi zinaleta rangi nzuri sana
Beki Mbuzi yuleTeam Mauritania nakuona Mkuu
Mauritania ikicheza na stars, stars inakula kumiAseeeh Tz tuna safari ndefu sana kupiga soka kama hili. Jamaa wana spirit ya ajabu, mtu kashafunga hakuna cha back passes majamaa yanaenda mbele tu kutafuta goli jingine. Alofungwa nae sio kinyonge anaupiga haswaa
Wanaweza siku CCM ikiachia ngaziHivi stars wanaweza jaribu kucheza hivi..!?
Ndio utulivu nilikuwa nauongelea huo. Mauritania [emoji1163] wanacheza kwa speed but huoni madhara hata kidogo mbele.Ile penalty kipa kasababishiwa na yule beki Mbuzi yule wasingefungwa
Kuna mtu anaweza lia mwishoni