Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
- Thread starter
- #8,101
Wenyeji leo kama wapo siriaz kiaina
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kocha kabadilika aisee. Wamefukuza yule MzunguWenyeji leo kama wapo siriaz kiaina
Itakuwa raha sanaSenegal anaaga.
Ngj mkutane na ss watu wa visiwani cape Verde tutawanyoosha..vukeni kwanzaSisi team Senegal tulishasema tokea jana, hii mechi haiendi 120.
Tunamaliza kazi mapema.
Fofana atalala hoi leo yani anafia timu kinoumaaaWenyeji leo kama wapo siriaz kiaina
kosa lao ilikuwa kuangalia majina ya ulaya, na kimwacha PacomeIvory Coast wako vizuri sana..
Cjui wanakosea wap..
Ila team za wenzetu wako wapiganaji sana..
Wanakosajeh asa ao watu!?Mbona kama kuna irizi hapa hawa watu wameamshwa
Thubutuuuu!Itakuwa raha sana