Selikavu
JF-Expert Member
- Jul 14, 2017
- 6,346
- 14,546
😅Hata me nimeona🤣🤣Sio kila siku ijumaa🤣🤣
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😅Hata me nimeona🤣🤣Sio kila siku ijumaa🤣🤣
Kama isingekuwa ufadhili wa wadhamini ni mashindano ya hasara sanaKweli mkuu
Hawa wenyeji tuachieni sie wakongo tunakazi nao hawa
Waafrica tukomae hapa wangekua wazungu flight zingekua bize sana, viongozi wetu waache janja janjaShida ni uchumi wa waafrika na miundombinu ya kutunganisha ipo chini
Vijana wanakuja hao kaka blue 🦈Hii ndo radha ya Amapiano😅🤣
Kweli aisee mfano tz promo zimebakia kwa timu mbili hakuna ushindai kwenye ligi siasa kila kitu kutojali n.kWaafrica tukomae hapa wangekua wazungu flight zingekua bize sana, viongozi wetu waache janja janja
Anasakwa SA Atatema bungo tu.Cape Vwrse mmepigaje hapo?
Ungekua hata unasoma uelewe basi ndg yng.Hakuna mahali Ivory coast anabebwa stop that.
Hii mechi kapewa red cards mbili pamoja na Penalty kwa Mali
Bonito football hiloCape Vwrse mmepigaje hapo?
TUendele kusindikiza mdogo mdogo tuKweli aisee mfano tz promo zimebakia kwa timu mbili hakuna ushindai kwenye ligi siasa kila kitu kutojali n.k
Kabisa yaaaniSema tuache utani cape verde **** pisi
Cameraman anatupatia😄😄
Cape verde tangu mwanzo nasema ni wagumu ila tutafika tuuVijana wanakuja hao kaka blue 🦈
Nyooooo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Sema tuache utani cape verde **** pisi
Cameraman anatupatia[emoji1][emoji1]