Kasiano Muyenzi
JF-Expert Member
- Feb 3, 2018
- 13,858
- 22,729
Uzi umeshavamiwa 😁
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Si ha saTanzania tunafeli wapi hadi hawa cape verde wanatuzidi hivi?
Huyu mama 🔥Mama joy mmemuona?😄😄😄🖐🖐🖐
Kama umetoka ucngizini ryt nw unaweza sema ni France ndo wanachezaHuu mpira wa cape verde umeenda shule hawa jamaa ni wagumu
Jamaa wanagusa balaaKama umetoka ucngizini ryt nw unaweza sema ni France ndo wanacheza
Lol! Kwenye kutazama mpira huwa kuna mambo mengi b...Huu uswahili alikufundisha nani lakini? 😂😂
Ur the man of night watch brotherNadhani nahitaji siku moja kutembelea Cape Verde
Wabongo utawaweza? Shida yetu ni ujuaji ukute Aliyesema hayo Victor kamjua kwenye Hii Afcon halafu anaanza kuongea ujinga
Ila Cape Verde kuna pisi au nasema uongo ndugu zangu
Mpira dakika tisiniVijana wa Ramaphosa wanaruka ruka tu uwanjani.
Nadhani nahitaji siku moja kutembelea Cape Verde
Wakishawatazama hao kina pacome basi hawatazami tena mechi zngne Hii Afcon wanatazama Kwa kua ligi yetu ilikua imesimamaWamezoea kuangalia kina ntiyabokiza labda [emoji16]