Cetshwayo Kampande
JF-Expert Member
- Nov 28, 2018
- 1,295
- 2,973
Kwa ajili ya vita inayoendela congoKwa nini wachezaji wa Congo wamevaa vitambaa vyeusi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa ajili ya vita inayoendela congoKwa nini wachezaji wa Congo wamevaa vitambaa vyeusi?
Huwezi ukawa first eleven ya BRIGHTON PALE EPL. UKAWA KILAZASimon Adignra mtoto mdogo akili kubwa ya soka
Yaani mimi TBC naiangalia sababu ya mechi tu kwakweliHapana hata Super Sport ilikuwa inaonesha hivyo wakati Mpira unaanza, naona kulikuwa na mvua ila tayari imekatika, japo ni kweli TBC kuna muda wanazingua ila kuna muda pia wanajitahidi
Mkuu Naomba na Link ya Mechi hii ya Saa 5 Congo na Ivory coast
Na Kuna yule mtangaji wao akiona pisi Kali jukwaan lazima aseme "",umeona maua """"" huku anacheka 😁TBC wanaonyesha game utafikiri uwanjani Kuna mvua kubwa inanyesha yaani full ukungu.
Tukutane mshindi wa tatuMmekufa kiume🤣😂😁
Ndo maana wakakatalia matangazo ya mpira warushe wao tuu kwa tz bila ivo hakuna wa kuangalia picha TBC bana tuache unafki labda wazee kwenye taarifa za habari sjui aridhioNi aibu sana mkuu mwanzoni nikahisi labda Kuna mvua uwanjani kumbe ni namna ya urushaji wao wa matangazo.
Shabikia Ivory coast basi inonekana una kitu🤣🤣Kila timu ninayoshabikia inatolewa
Acha nione Congo labda hawatonidisappoint
Huku Tanesco bado wamekaza . Ngoja tuoneSasa nipo live umeme umerudi niitazame Congo DR
Mkuu Naomba na Link ya Mechi hii ya Saa 5 Congo na Ivory coast
Shabikia Ivory coast basi inonekana una kitu🤣🤣
Wabheja sana lemme watch huko🙇🙇Ivory Coast vs DR Congo - Africa Cup of Nations livesteaming 02-08-2024 | Tigoals
Live streaming of Ivory Coast vs DR Congo, 02-08-2024, Africa Cup of Nations live stream. Football free live steaming, analysis, stats, tigoals, tigoals live, idn tigoals, 808 score, Tigoals, livesports on tigoals live streaming.play21.marza1.com
Tembo wameuwawa.Hizi sio zinatengenezwa baada ya Mechi? Hebu tuleteeni kati ya the Leopards na The Elephants tuone