Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hukubeti kweli wewe?😂🤣🤣😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭Presha imenipanda mwenzenu😭😭😭
Hivi fainali uko upande ganiWataalam tukiwaambia msikilizage jamani! Haya kiko wapi?
Ivory Coast katika mashindano haya ni bora zaidi ya DRC, na leo imedhihirika.
Ila, haikuwa mechi ya kuvutia as iligeuka ya upande mmoja.
Mkuu, amini kuwa tunaenda kupata fainali ya moto sana. Watu wa boli la direct wanakutana.Fainali hata haitanoga😒
Mimi na Afcon basi tena🙌💔
Walimsikiliza NyauWataalam tukiwaambia msikilizage jamani! Haya kiko wapi?
Ivory Coast katika mashindano haya ni bora zaidi ya DRC, na leo imedhihirika.
Ila, haikuwa mechi ya kuvutia as iligeuka ya upande mmoja.
Unaonaje tukiichambua fainali b…? Tuweke facts mezani kisha tuone nani ana nafasi.Lol! Hata mimi siwaoni DRC wakipata kitu mbele ya SA. Fainali huwa ina tabia za ajabu sana, hadi mechi ianze ndiyo unaweza kuiona vizuri.
Ova
Na bado na mshindi wa Tatu ukazwe vile vile urudi vitani mikono mitupu leo lingaraa imekuisha lote[emoji24]
Bado, ni mpaka nifanye analysis.Hivi fainali uko upande gani
Hapana Mkuu nimelia sana yaani sana hadi wanangu wanalia pia😭😭😭Hukubeti kweli wewe?
Sawa b...Unaonaje tukiichambua fainali b…? Tuweke facts mezani kisha tuone nani ana nafasi.
Tukipata muda…
Pigaa haoooo mim litaka kushangaza Kweli Serious Congo aende fainaili ingekua upumbavu sana[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
anatupangia Mda wa kulalaWewe acha mambo yako, zile tambo zako ziko wapi?
Usidhani nimesahau. Wewe na mwenzio Selikavu
Tokea waondoke nina raha sana. Hata babe akiangalia mpira nina amani.Haya mashindano toka warembo wa Cape Verde warudi kwao yalishakosa mvuto
Ndio maana nchini kwenu mnakatiwa sana umeme nyinyiNa bado na mshindi wa Tatu ukazwe vile vile urudi vitani mikono mitupu leo lingaraa imekuisha lote
Mambo ya umeme yanatoka wapi jamani? Ndugu zako wamekuaibisha leo.Ndio maana nchini kwenu mnakatiwa sana umeme nyinyi