2024 Africa Cup Of Nations (AFCON) | Special Thread. Mechi ya fainali, FT: Nigeria 1 - 2 Ivory Coast. Ivory coast abeba ubingwa. 11.02. 2024

2024 Africa Cup Of Nations (AFCON) | Special Thread. Mechi ya fainali, FT: Nigeria 1 - 2 Ivory Coast. Ivory coast abeba ubingwa. 11.02. 2024

Mabishoo wa kinaijeria wali relax wakati fulani. Mpira ni mchezo wa watu 11 kwa 11, akitokea mmoja akitegea tu lazima muadhibiwe.
 
Ivory Coast ni kama ilivyotokea Denmark kwenye Euro 1992

Jamaa hawakufuzu ghafla wakaitwa mashindanoni wiki kadhaa baada ya Yugoslavia kuzuiwa kushiriki michuano kwasababu za kisiasa.

Denmark kutoka kutokufuzu mpaka wakaenda kubeba ndoo!!
Hawa mfano wao una Fanana sana pia na Ureno Mwaka ule wanatwaa Euro dhidi ya Mfaransa Fainali
 
Back
Top Bottom