Donnie Charlie
JF-Expert Member
- Sep 16, 2009
- 16,908
- 19,123
Sub I.C
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mpumbavu yule alifanya timu iwe ya ovyo sanaHivi yule Kocha wa Ivory Coast aliyefukuzwa anajionaje huko alipo.
Timu inapoenda kufungwa unaona tu. Kama Taifa Stars Vs Zambia. Niliweka dakika 3 goli linarudi na ilitumika dakika 1 tu likarudi kweli.[emoji23][emoji1487]Umetisha mkuu
Usimsahau Kocha Pia, Maana yule Mzungu si walitimuaivory coast kuna watu watu kama watano ivi kwenye first eleven yao wamefanya timu imebadilika sana Seri,Adingra,Kossonou, Haller na Diakite
Walibweteka sn, wanakumbuka shuka kumekuchaHaya mashambulizi Nigeria wanafanya sasa hivi....
Walikuwa wapi muda wote.
Hamna kitu hapoNigeria wanarudisha.. Aminini
kocha Ndio wakumpa pongezi sanaUsimsahau Kocha Pia, Maana yule Mzungu si walitimua
😂😂😂😂.Ndugu Yangu Leo Hulali Bar.
Pongezi Kwenu
Ilw euro ya 2016 ilee.Hawa mfano wao una Fanana sana pia na Ureno Mwaka ule wanatwaa Euro dhidi ya Mfaransa Fainali
SijamuonaMichuano hii sijamuona Yaya Toure, au wenzangu mlimuona
Si ana timu anafundishaSijamuona
yupe Saudi Arabia afanya kazi kama kocha msaidiziSijamuona
Aaah Atakua alisharudi JobergMama joy leo sijamuona kabisa