2024 Africa Cup Of Nations (AFCON) | Special Thread. Mechi ya fainali, FT: Nigeria 1 - 2 Ivory Coast. Ivory coast abeba ubingwa. 11.02. 2024

2024 Africa Cup Of Nations (AFCON) | Special Thread. Mechi ya fainali, FT: Nigeria 1 - 2 Ivory Coast. Ivory coast abeba ubingwa. 11.02. 2024

Nigeria walistahili kufungwa, hawakuwa na mipango yoyote, hawakuwa hatari hata pale walipokuwa na mpira. Ivorian walikuwa bora zaidi yaya,

Nigeria walistahili kufungwa, hawakuwa na mipango yoyote, hawakuwa hatari hata pale walipokuwa na mpira. Ivorian walikuwa bora zaidi yao.
Ya,

Kama umeifatilia Nigeria hata kabla ya Afcon, walikuwa wanacheza soka la kujilinda zaiidi/Defensive/Negative football,Japokuwa wachezaji wanao wazuri kulinganisha na mengi mataifa ya Africa.

Coach wa Nigeria anauwezo Mdogo/Average coach!

Japo Mimi si muumini Sana wa Data/Statics/takwimu!!-

Mechi ya Leo!!!!Kila kitu wamezidiwa!

Ball possession Nigeria 38%,. Ivory coast 62%
Total shots. Nigeria 5. Ivory coast 18
On target. Nigeria 1..... ivory coast 8!..
 
Ulikuwa ni wasaa mzuri sana kujumuika na nyinyi wadau wote katika kipindi hiki chote cha mashindano, japo kuna nyakati tulipitia ups & down za Tanesco lakini daima tulikuwepo katika uzi huu!

Kila lenye mwanzo halikosi mwisho, hakika tumefikia mwisho wa Afcon hii ambayo bila kumung’unya maneno ni Afcon bora kuwahi kuitazama!!

Najua tutaendelea kuonana kwenye majukwaa mengine, ila kwa hapa Mpaka wakati mwingine, Adios Amigo🙏🏾🙏🏾🙏🏾
 
Duh
 
Attachments

  • MPIRA AFCON FF_125939.png
    MPIRA AFCON FF_125939.png
    340.1 KB · Views: 2
Ulikuwa ni wasaa mzuri sana kujumuika na nyinyi wadau wote katika kipindi hiki chote cha mashindano, japo kuna nyakati tulipitia ups & down za Tanesco lakini daima tulikuwepo katika uzi huu!

Kila lenye mwanzo halikosi mwisho, hakika tumefikia mwisho wa Afcon hii ambayo bila kumung’unya maneno ni Afcon bora kuwahi kuitazama!!

Najua tutaendelea kuonana kwenye majukwaa mengine, ila kwa hapa Mpaka wakati mwingine, Adios Amigo🙏🏾🙏🏾🙏🏾
Nilikwambia Nigeria kama Arsenal umeamini
 
Kweli mkuu
Kwny mpr usidharau kbs mtu.. Yan mpr ndo mchezo wa htr na unaweza ukakufanya ukabak unashangaa.

Mm leo nilikua na waswas Sana navosikia Kila mtu anaimba kua Nigeria leo mapema Sana.

Hawa wapuuz walikua na bahat na walikua wanaenda Kila hatua unaona wanabadilika na wanapata morali ya kupambana.

Wamestaili kiukwl safar Yao ni nzr Sana kutokea best looser hadi kutwaa ubingwa Tena ukiwa umemtupa bingwa mtetez(Senegal) nje na favorite mwngne Nigeria nje.

Kongolee nyingi Sana [emoji1081][emoji1487]
 
Ulikuwa ni wasaa mzuri sana kujumuika na nyinyi wadau wote katika kipindi hiki chote cha mashindano, japo kuna nyakati tulipitia ups & down za Tanesco lakini daima tulikuwepo katika uzi huu!

Kila lenye mwanzo halikosi mwisho, hakika tumefikia mwisho wa Afcon hii ambayo bila kumung’unya maneno ni Afcon bora kuwahi kuitazama!!

Najua tutaendelea kuonana kwenye majukwaa mengine, ila kwa hapa Mpaka wakati mwingine, Adios Amigo[emoji1488][emoji1488][emoji1488]
Tuombe uzima Euro tutarudi apa Na France Argentina wote hawataki kwenye Timu yetu Nenda huko England
 
Comrade Bufa , turudi hapa.

Mimi baada ya ile game yao na Senegal walivyopiga mpira mkubwa, niliamini kabisa lazima kituo cha mwisho ni final na komba linabaki home.

Nigeria waliingia na matokeo mkononi, na baadhi ya wachezaji wao waliingiwa viburi na majivuno baada ya sifa mitandaoni ( Osmhen & Nwabal).
IMG_20240212_011549.jpg
 
Back
Top Bottom