2024 Africa Cup Of Nations (AFCON) | Special Thread. Mechi ya fainali, FT: Nigeria 1 - 2 Ivory Coast. Ivory coast abeba ubingwa. 11.02. 2024

Haya wote tumeona Drogba uwanjani, Solomon Uwanjani, sisi na chichiem yetu tukaamua kubeba mwinjaku sijui na baba nani yule , yan badala ya kubeba professionals tumebeba machawa, Jaman tujifunzage kwa walio fanikiwa… aloo acha kabisaaa yan babalevo na mwinjaku kwa pamoja nikiwaambia wapige hata danadana tano yan 2+3 kwa pamoja wakiweza nawalipa…
Correct 100%

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Wahamasishaji eti baba levo na mwijaku jamani[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]wenzetu Leo mmewaona kina Drogba ,Kalou yaani wako Kabisa wanaonesha wanaumia live yaani

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Eti nliyaona yanamwambia msuva “ Msuva ukiipata piga kwa mbali “ majinga yale apige kwa mbali nini ? Kwanza nani aliyapeleka karibu na kambi ya wachezaji yale majinga ? Kenge kabisa wale
 
[emoji2][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]yaani mambo ya ainu sana wanawaacha wachezaji wanawachukua wapuuzi wale
Wanaenda na msafara wa viongozi 15 Jamani nilishangaa sana[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
[emoji2][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]yaani mambo ya ainu sana wanawaacha wachezaji wanawachukua wapuuzi wale
Wanaenda na msafara wa viongozi 15 Jamani nilishangaa sana[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Yan sasa mwijaku atamwambia nini samata kwenye mpira ? Watu wanapiga boli Ulaya huko ye yupo mpiji magohe wapi na wapi ? Yan nlikasirika sana, wamechukua watu vikindu huko sijui, kongozoma sijui wakamshauri novatus dismas namna ya kuzuia kama beki , aloo hii nchi ina ujinga mwingi sana
 
Kweli wamestaili ubingwa.

[emoji1487][emoji1081][emoji471]
20240212_014255.jpg
 
Back
Top Bottom