2024 Africa Cup Of Nations (AFCON) | Special Thread. Mechi ya fainali, FT: Nigeria 1 - 2 Ivory Coast. Ivory coast abeba ubingwa. 11.02. 2024

2024 Africa Cup Of Nations (AFCON) | Special Thread. Mechi ya fainali, FT: Nigeria 1 - 2 Ivory Coast. Ivory coast abeba ubingwa. 11.02. 2024

umuamshe mpige stori unamuachaje alale we upo macho!
Nchi za watu mbali huko, ni hadi anitafute mwenyewe.

Halafu mi mwenyewe nilizingua, nililala nikamuacha na yeye akalala.
So nilionja dawa yangu mwenyewe.
 
Yani wale siyo kwenye mpira tu, wao kila sector huwa wanajiona maisha wameyapatia, sasa leo hawajaamini walichokiona
Yule kipa alifurahi mno aisee
Utadhani amemaliza mechi

Kilichotokea wskampiga viwili tena magoli yote aliyofungwa yanafanana.
 
Deal done
Afcon tumemaliza..

Kwaherini..
Ndugu zangu wa ligi za uengereza tukaendelee na mambo yetu

Wale wa ligi za matopeni Tanzania,Kwaherini, daima mbele nyuma mwiko.
 
Binafsi tusishinde tu maana hata viongozi wa mpira nao wajinga wajinga watupu hawawezi ongea bil kumtaja mama Samia haya Sasa na siasa zao chafu hatufiki popote
Tumezidiwa na timu zenye vita Kila siku

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Hapo ndio huwa nashangaa watu kila siku wapo vitani ila mpira hatuwawezi, mpira umegeuka jukwaa la ccm kutangaza ujinga wao aloo wajinga ni wengi sana nchii hii, hata tff bora waifite tu
 
Wanaijeria ni watu wa vurugu tu. Wanajionaga wao ndio kila kitu. Ndio maana wengi ni masikini na nchi yao ina hali ngumu. Mpaka wanaikimbia kabisa [emoji1787][emoji1787], yaani hawataki hata kurudi [emoji1787][emoji1787][emoji1787] wanaogopa wahala [emoji1787] wanaiita JAPA
Yeah nigeria ni failed state mkuu, wamesambaa dunia nzima kazi yao kubwa ni kutapeli watu tu mpaka passport yao inaogopwa imekuwa blacklisted kwenye nchi nyingi, yet wanajiona wao ndio special sana hapa africa sasa wangekuwa na maendeleo sijui ingekuwaje
 
Dah,

Kumbe ningekuwa mtu wa kubeti ningepiga hela na mini.
Yeah hata mimi nilijisemea hivi ningebet ningepiga hela, sema basi tu sikujiamini na matokeo maana nikiri kwa nilivyowaona wanaija hii michuano, hata kama nilikuwa sitaki washinde ila na mi niliingia mkumbo wa kuamini kwamba lile kombe wanabeba
 
Yeah nigeria ni failed state mkuu, wamesambaa dunia nzima kazi yao kubwa ni kutapeli watu tu mpaka passport yao inaogopwa imekuwa blacklisted kwenye nchi nyingi, yet wanajiona wao ndio special sana hapa africa sasa wangekuwa na maendeleo sijui ingekuwaje
Hata hivyo ndio nchi yenye uchumi mkubwa zaidi barani Afrika.
 
Yeah hata mimi nilijisemea hivi ningebet ningepiga hela, sema basi tu sikujiamini na matokeo maana nikiri kwa nilivyowaona wanaija hii michuano, hata kama nilikuwa sitaki washinde ila na mi niliingia mkumbo wa kuamini kwamba lile kombe wanabeba
sifa ya kwanza ya mbetiji huwa hasubiri matoke Ndio aanze kusema Ningejua niweke pesa labda ningeshinda kamali hasa ya mpira inataka watu direct tu mfano Rejea kwa jamaa aliyeibetia Leceter itabeba ubigwa 2016 hakuna hata mmoja aliamini kama leceter atabeba ubigwa ila jamaa kabla ya ligi kuanza akaweka Mzigo akaipa leceter Mwishoni mwa ligi leceter Bigwa jamaa kashinda kitita
 
Back
Top Bottom