mama kubwa
JF-Expert Member
- Nov 3, 2010
- 6,230
- 9,889
Hili kombe mbona kama Mapinduzi?. Mwenyeji lazima ashinde🤓🤓Kama kawaida watanzania kushabikia mataifa mengine.
Hongereni wa ivory Coast wa mbagala.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hili kombe mbona kama Mapinduzi?. Mwenyeji lazima ashinde🤓🤓Kama kawaida watanzania kushabikia mataifa mengine.
Hongereni wa ivory Coast wa mbagala.
Nchi za watu mbali huko, ni hadi anitafute mwenyewe.umuamshe mpige stori unamuachaje alale we upo macho!
Angalia usije ukapelekewa wewe.Nikupelekee moto
Yule kipa alifurahi mno aiseeYani wale siyo kwenye mpira tu, wao kila sector huwa wanajiona maisha wameyapatia, sasa leo hawajaamini walichokiona
Ndio tutakachofanya Bina😂
Dada una roho ngumu sana Mpira unaleta magonjwa ya moyo
#Together.You got it right mkuu. After Congo kutolewa nilitaka Ivory Coast washinde, I'm happy for them.
amestahili, alipambana sana, magoli yote mawili hayajalalamikiwa hata na wapinzani wao,magoli halali. walistahili. nimefurahi Nigeria hawajachukua.Hili kombe mbona kama Mapinduzi?. Mwenyeji lazima ashinde🤓🤓
Umri umeendaHuyu rais wa Ivory coast, naona kama mzee sana. Na afya yake haipo sawa.
Je ana miaka mingapi?
Hawa matapeli walianza mbwembwe hata mechi haijaishaKm wangeshinda leo, huko mitandaoni pasingekalika. Wapopo wana misifa sn
Hapo ndio huwa nashangaa watu kila siku wapo vitani ila mpira hatuwawezi, mpira umegeuka jukwaa la ccm kutangaza ujinga wao aloo wajinga ni wengi sana nchii hii, hata tff bora waifite tuBinafsi tusishinde tu maana hata viongozi wa mpira nao wajinga wajinga watupu hawawezi ongea bil kumtaja mama Samia haya Sasa na siasa zao chafu hatufiki popote
Tumezidiwa na timu zenye vita Kila siku
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Yeah nigeria ni failed state mkuu, wamesambaa dunia nzima kazi yao kubwa ni kutapeli watu tu mpaka passport yao inaogopwa imekuwa blacklisted kwenye nchi nyingi, yet wanajiona wao ndio special sana hapa africa sasa wangekuwa na maendeleo sijui ingekuwajeWanaijeria ni watu wa vurugu tu. Wanajionaga wao ndio kila kitu. Ndio maana wengi ni masikini na nchi yao ina hali ngumu. Mpaka wanaikimbia kabisa [emoji1787][emoji1787], yaani hawataki hata kurudi [emoji1787][emoji1787][emoji1787] wanaogopa wahala [emoji1787] wanaiita JAPA
Testicular cancer ni zaid ya tezi dume.Tezi dume,kashapona,alifanyiwa operation
Yeah hata mimi nilijisemea hivi ningebet ningepiga hela, sema basi tu sikujiamini na matokeo maana nikiri kwa nilivyowaona wanaija hii michuano, hata kama nilikuwa sitaki washinde ila na mi niliingia mkumbo wa kuamini kwamba lile kombe wanabebaDah,
Kumbe ningekuwa mtu wa kubeti ningepiga hela na mini.
Nilikuwa nakumbushia tu dadanguHaya mambo yanatoka wapi lakini?
Huyu rais wa Ivory coast, naona kama mzee sana. Na afya yake haipo sawa.
Je ana miaka mingapi?
Nyiny Livepoor kila siku kazi yenu kuwasindikiza city kwenye Mbio za UbigwaSisi kama majogoo timu ya kibingwa hata tukifungwa hatuna presha
Mpira huohuo unaleta raha ambayo haipatikani kwingine kote
Hata hivyo ndio nchi yenye uchumi mkubwa zaidi barani Afrika.Yeah nigeria ni failed state mkuu, wamesambaa dunia nzima kazi yao kubwa ni kutapeli watu tu mpaka passport yao inaogopwa imekuwa blacklisted kwenye nchi nyingi, yet wanajiona wao ndio special sana hapa africa sasa wangekuwa na maendeleo sijui ingekuwaje
sifa ya kwanza ya mbetiji huwa hasubiri matoke Ndio aanze kusema Ningejua niweke pesa labda ningeshinda kamali hasa ya mpira inataka watu direct tu mfano Rejea kwa jamaa aliyeibetia Leceter itabeba ubigwa 2016 hakuna hata mmoja aliamini kama leceter atabeba ubigwa ila jamaa kabla ya ligi kuanza akaweka Mzigo akaipa leceter Mwishoni mwa ligi leceter Bigwa jamaa kashinda kititaYeah hata mimi nilijisemea hivi ningebet ningepiga hela, sema basi tu sikujiamini na matokeo maana nikiri kwa nilivyowaona wanaija hii michuano, hata kama nilikuwa sitaki washinde ila na mi niliingia mkumbo wa kuamini kwamba lile kombe wanabeba