2025 CHADEMA twende na nani kati ya Lissu au Mbowe?

Wote ni mataputapu.Tafuteni ruzuku kupitia wabunge.Hakuna atakayemshinda Samia.
 
Toa ujinga wako mkuu,weak kwa nani? Samia atazoa kura kama zote Kwa sababu kafanya vizuri kwenye maendeleo.
 
Kwa hiyo bila hizo pesa na tozo hayo ungeyaona? Kwani tunachagua sura za watu ?

Akina Mbowe na Lisu watatueleza nini zaidi ya hekaya za akina Amsterdam?

Harafu mwenye akili hawezi chagua hao Matapeli wa chadema .
 
Mi nadhani Mbowe anafaa zaidi because of his compromising attitude. Lisu yuko kama Hamas very extreme. Ila Mama yetu lazima ashinde kwa kishindo sababu wale ndugu zetu wa makaunda suti na ma landcruiser. Wazee wa vingora barabarani plus maposho hawawezi kukubali kuyakosa.

Lakini naamini mikononi.mwa mama atatuwekea mazingira wezeshinya kupata katiba mpya. Na kidogo hili linaweza likaleta unafuu kwa vyama pinzani miaka ijayo 2040 huko

Sent from my Infinix X605 using JamiiForums mobile app
 
Kwa katiba hii, CCM hata wakisimamisha kipande cha gogo la mti itashinda tu, bila kujali ni nani anayegombea kupitia upinzani.
 
Tupo katikati ya VITA; Vita vitakatifu vya kudai katiba mpya..sidhani kuna Mtanzania makini anafikiria mambo ya uchaguzi bila Katiba ambayo itazaa tume huru.
 

Unakosea kusema wote wana nafasi sawa ya kumshinda Hangaya kirahisi. Utawasababisha hao wawili waanze kuwindana kuuana bure. Mmoja wao yuko kama Faru John, ambaye alikuwa na tabia ya kuwaua faru wengine wa kiume kwenye himaya yake!
 
Unakosea kusema wote wana nafasi sawa ya kumshinda Hangaya kirahisi. Utawasababisha hao wawili waanze kuwindana kuuana bure. Mmoja wao yuko kama Faru John, ambaye alikuwa na tabia ya kuwaua faru wengine wa kiume kwenye himaya yake!
Umewafunulia jungu
 
Hakuna wa kwenda nae kati yao
 
Umesema mifumo ..... Mifumo ambayo haiogopi kumwaga damu in the name of madaraka
 
Umetisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…