nyakubonga
JF-Expert Member
- Apr 5, 2015
- 7,088
- 12,837
Kwa sasa jamii nyingi za kitanzania hazina huduma ulizotaja,Watanzania hawachagui kwa sera bali huchagua kwa ushabiki, hamasa, ujinga, rushwa, vitisho nk. Hata hao wanaosema wanashinda kwa sera sio kweli, kwani wakishinda husema wanaleta maji, umeme, elimu nk. Huduma hizi ni majukumu ya serikali yoyote iwe na sera au isiwe na sera, ili mradi ndio inayokusanya kodi hata ingekuwa ya kijeshi. Hata upitie ilani za vyama vyote, wote huwa wameweka hizo huduma.
Maendeleo ya south yalikuwa kwa wazungu sio kwa waafrika.
Kwa sasa jamii nyingi za kitanzania hazina huduma ulizotaja,
so angalau ukija na sera hizo watakuelewa, sio hii ya kuhurumiwa.
Reli ndio decent life?Zile reli, na high ways zilikuwa zinapita kwa wazungu tu?
Reli ndio decent life?
Huo wimbo hautawasaidia....Kwa sababu ya wizi, hakuna zaidi ya hilo.
Ukikemea wewe na pole pole inatosha.Mlitaka upinzani ufe ili mfsnye mambo yenu kwa uhuru sasa vip tena?labda profesa jay wengine wote ni wachumia tumbo tuu, siunaona walivyo kimya, yani polepole ndio atoke mbele akemee ujinga unaofanywa na rais wao wamekaa wanakuna tu kende na kudhiaki wale wote wanaompinga rais, hii ni aibu kwa upinzani wa hii nchi.
ni kweli huwezi kuitenganisha CCM na Jeshi la wananchi, vyombo vyote vya ulinzi na usalama, Tume ya Uchaguzi, Mahakama na Bunge. Kote CCM wamejaa - sasa kwa katiba hii as long as inaendelea kutumika hakuna siku CCM itatoka madarakani - sahau kabisa.CCM siyo chama cha siasa, kile ni chama dola, kukitoa madarakani ni mpaka pale viongozi wa hizo taasisi zinazotengeneza dola waamue kuheshimu maamuzi ya wananchi walio wengi.
Ndiyo maana si ajabu kuona viongozi hao wa dola pindi wakisitafu wanarudi CCM na kugombea nyazifa mbalimbali.
Lisu alikuwaga anakemea nini sasa zaidi kuwatetea mabeberu na kusema nchi itashtakiwa kwa kuvunja mikataba kinyonyajiUlitaka Mbowe atoke Gerezani akemee, Kuna mtu anakemea Kama Lissu,wakati Magufuli anafanya atakayo hakuna mbuzi ilinyanyua mdomo,,Lissu alipambana nae
Bila katiba mpya na tume huru CHADEMA haingii kwenye UCHAGUZI2025, ni general election Tanzania, ni uchaguzi ambao unaonekana Mgombea wa CCM uenda akawa SSH. Na endapo SSH atagombea namuona kama weak candidate kutoka CCM toka mfumo wa vyama vingi uanze.
SSH akiwekwa na Lissu, Na uchaguzi ukawa sawa, bila kumuibia mtu, SSH kwa Lissu hatoboi, hata we utakayebisha Ila ukweli unaujua.
SSH akiwekwa na Mbowe, SSH hatoboi, Samia hawezi mshinda Mbowe hata, labda atumie TISS, Polisi, na NEC kumbeba.
Swali kwa Chadema, 2025 twende na nani kati ya Lissu au Mbowe
Hawaaminiki wachagga😂😂😂😂😂😂Yes jamii haiwachukii ila ina mashaka nao.
ni kweli huwezi kuitenganisha CCM na Jeshi la wananchi, vyombo vyote vya ulinzi na usalama, Tume ya Uchaguzi, Mahakama na Bunge. Kote CCM wamejaa - sasa kwa katiba hii as long as inaendelea kutumika hakuna siku CCM itatoka madarakani - sahau kabisa.
Truth will be spoken however bitter it is, ccm never wins elections but it steals it through its own electoral commission working in cahoots with the much discredited police force.Huo wimbo hautawasaidia
Kwani mmeshaamua kushiriki bila katiba mpya?au itapatikana kabla ya 2025Kisiasa mpaka sasa FAM, LISSU wote wapo juu ,ni swala la kukubaliana tunapanda na nani na wao kukubaliana tu
Hata ivyo umesema ukweli, mgombea wa ccm akiwa SSH, ni mgombea weak hata Mie nikisimamishwa na CHAMA saa 7 mchana nimemaliza biashara,
Ikumbukwe uchaguzi 2025 sio uchaguzi na CCm ,bali uchaguzi kati ya dhuluma na ukandamizaji, lazima CCM waondoke ,ZAMBIA NDANI YA TZ inakuja 2025
Ndio maana hatuitaki hiyo tume ya ccm kwa sababu Lowassa ndio alipata kura nyingi lakini wakabadilisha na kumpa dikteta Magufuli. Bure kabisa.
Hakuna katiba mpya hakuna uchaguzi, kujadili hakuondoi chochoteKwani mmeshaamua kushiriki bila katiba mpya?au itapatikana kabla ya 2025
Tupate tume huru ya uchaguzi tofauti na hii yenu ili uongo na ukweli ujulikane.Uwezekano kwamba kuna mpinzani amewahi kushinda uchaguzi wa Rais wa JMT ni karibu na zero, kama sio zero! Ushindi wa uchaguzi wa Rais wa JMT unatoka vijijini. Kushinda kwenye miji kikubwa pekee yake hakutoshi kumpa mtu ushindi.
Strategy ya Upinzani ya kujikita mjini imewagharimu election after election!
Tupate tume huru ya uchaguzi tofauti na hii yenu ili uongo na ukweli ujulikane.