2025 ili ukubalike kwa haraka, italazimu Tundu Lissu kulitaja jina la JPM kuomba kura kwa Wananchi

Mataga mtafunguka akili zenu lini? Eti jana 3.9 bilioni wamengalia mnavyomfanyia promotion yule jamaa yenu
 
Mtanzania niliyemnukuu kapiga kimya,wewe kiherehere ni cha nini!? Au ndio "multiple" ID.
Kuwa mkubwa kiakili na si kiumri.
 
Yaani umejiunga JF baada ya msiba au umefufuka baada ya msiba?
 
Umenena vyema. Mimi nina wasiwasi na uzoefu wa kisiasa wa watu humu ndani. Ila ki ukweli Rais Magufuli alionesha namna uongozi unavyotakiwa uwe. Muda utasema. Mimi natamani wanasiasa wawe wajanja, natamani Vyama vya upinzani vijikite kwenye hoja na kuja na mawazo mbadala kama wanataka kufika mbali kisiasa.
 
Uchaguzi wa October 2020 ambapo Magufuli alikuwa hai bado Tundu Lissu alishinda, tena kwa mbali. Sasa, sasa - 2025 utamshindanishaje Lissu dhidi ya mwendazake?
 
Kwa hao jamaa walioingia mkataba na shetani huu ukweli ni mchungu kuliko shubiri😂😂😂!
 
Kila kiongozi na zama zake..Alitokea Baba wa Taifa wakafuata wengine mpaka magufuli hatimae Bi Samiah. kati ya viongozi hao yapo mambo ambayo waliyafanya kama msingi hivyo kumwezesha magufuli kufanya haya aliyoyafanya, H3bu jiulize kama Baba wa taifa hakufanya chochote mwinyi angeongozaje Taifa ambalo lilikua bado ni taifa changa? Kila kiongozi anafanya sehemu yake hata Lissu akija atafanya sehemu yake kama alivyofanya mwendazake.
 
Unahisi ni Tundu lisu tu ndie atakaegombea urais?
Yani umeona ungemsemea Lipumba Uzi wako usingevuta watu ukasema tundu lissu sasa lissu hawezi ku enda na jina na JPM labda ungesema Ccm kama wanataka kupata hata kura kidogo watumie mzimu wa JPM na sio tena jina kwa sababu watanzania wengi watakua hawataki kulisikia kabisa
 
Mtanzania niliyemnukuu kapiga kimya,wewe kiherehere ni cha nini!? Au ndio "multiple" ID.
Kuwa mkubwa kiakili na si kiumri.

Lazima tukwambie ukweli,nyinyi ndiyo mmekuja kuharibu JF na utoto wenu mwingi,badala ya kujikita kwenye hoja unakimbilia kuangalia Profile? Ulifaa ubaki huko FB,huku si mahali pako.

Hiyo “multiple ID” ndiyo umeijua leo? Wakati tuna access na JF hadi tunaichangia ikafika hapa ilipo wewe ulikuwa huna hata access ya Internet achilia mbali kumiliki Simu ya mkononi,usilete ujuaji wako unapoambiwa ukweli.
 
Akili zako ni chache saaana mkuu,

Unadhani watu wanamtaja Hayati Sokoine Kwa sababu ipi, ni kutaka kumwabudu siyo??

Kunywa kwanza maji ya nazi upunguze uasubuhi kichwani mkuu

..badala ya kuombea Magufuli DUA NZURI nyinyi mko busy kuandama wafuasi wa upinzani.

..urithi wa Magufuli unapaswa kuwa MEMA yaliyofanyika ktk utawala wake, na siyo MAUVO anayotuhumiwa kuyasimamia.
 

..naamini JF imeharibika baada ya kuvamiwa na vijana wa ccm ambao ni mashabiki wakubwa wa magufuli.

..na vijana hawa walimfanya magufuli kuwa kama mungu mtu, katika macho yao magufuli alikuwa hakosei.

..nadhani ni wakati sasa watanzania kuwa na uongozi shirikishi. ni vema sote watanzania wote tukawa na thamani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…